Home Tags WORLD ATHLETICS 2023

Tag: WORLD ATHLETICS 2023

Lyles na Jackson wahifadhi mataji ya mita 200 mashindano ya Riadha...

0
Shericka Jackson wa Jamaica  na Noah  Lyles wa Marekani wamedhihirisha umaahiri  wao baada ya kuhifadhi mataji ya dunia ya mita 200 katika siku ya...

Mabarubaru Wanyonyi na Kipng’etich kuwania tiketi ya fainali ya mita 800

0
Chipikuzi wa Kenya Emmanuel Wanyonyi na Alex Kipng'etich watajitosa uwanjani Alahamisi usiku mjini Budapest,Hungary kwenye fainali ya mita 800 huku mashindano ya Riadha Duniani...

Faith Kipyegon alenga kuhifadhi dhahabu ya dunia mita 1,500 Jumanne

0
Bingwa mara mbili wa Olimpiki na dunia katika mbio za mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon atashuka katika uwanja wa kitaifa wa Budapest Jumanne...

Cheptegei agura mbio za uwanjani baada ya kutwaa dhahabu ya tatu...

0
Bingwa mara tatu wa dunia katika mbio za mita 10,000 Joshua Cheptegei wa Uganda, ametangaza kuhama mashindano ya uwanjani baada ya kutwaa dhahabu ya...

Kipyegon,Chepchirchir na Jebitok wafuzu nusu fainali ya mita 1500 mashindano ya...

0
Bingwa mtetezi wa dunia Faith Kipyegon,Nelly Chepchirchir na Edinah Jebitok wamefuzu kwa nusu fainali ya Jumapili ya mbio za mita 1500,katika siku ya kwanza...

Kibiwott,Koech na Bett wafuzu kwa fainali ya mita 3,000 kuruka viunzi...

0
Wanariadha wote watatu wa Kenya Leonard Bett,Abraham Kibiwott na  Simon Koech wamefuzu kwa fainali ya mbio za mita mita 3,000 kuruka viunzi na  katika...

Mashindano ya Riadha ya Dunia mjini Budapest yacheleweshwa kuanza kwa dakika...

0
Makala ya 19 ya mashindano ya Riadha ya Dunia yalicheleweshwa kuanza kwa tarkiban lisaa limoja mapema Jumamosi kutokana na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha mjini...

Kenya kuwinda nishani katika fainali tatu Jumamosi

0
Kenya itakuwa ikiwinda nishani kwenye fainali tatu katika siku ya kwanza ya makala ya 19 ya mashindano ya riadha duniani mjini Budapest,Hungary siku ya...

Ujumbe wa kwanza wa Kenya kwa mashindano ya Riadha Ulimwenguni kuondoka...

0
Ujumbe wa kwanza wa timu ya Kenya itakayoshiriki mashindano ya Riadha Ulimwenguni utaondoka nchini Jumatatu usiku kuelekea Budapest Hungary, kwa makala ya 19 yatakayoandaliwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS