Tag: Wizara ya Kilimo
Sekta ya kilimo yatengewa shilingi bilioni 54.6
Sekta ya kilimo imetengewa jumla ya shilingi bilioni 54.6 katika bajeti ya mwaka 2024/2025.
Akizungumza wakati akisoma bajeti hiyo katika bunge la taifa leo Alhamisi,...