Tag: William Ruto
Rais Ruto awahimiza viongozi wa Afrika kuzungumza kwa sauti moja
Rais William Ruto, ametoa wito kwa viongozi wa Bara Afrika, kuhudhuria mkutano ujao wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabia nchi, wakiwa na...
Ruto na Gachagua watakiwa kutatua mzozo baina yao
Wabunge wawili wametoa wito kwa Rais William Ruto na Naibu wake Rigathi Gachagua, kutatua mzozo kati yao wakisema hali hiyo inaweza sababisha madhara makubwa...
Rais Ruto: Serikali itawasaidia Wakenya wanaoishi ughaibuni
Rais William Ruto amesema Serikali yake imejitolea kutekeleza hatua madhubuti za kuwasaidia Wakenya wanaoishi ughaibuni.
Rais alibainisha kuwa chini ya mpango mpya wa uhamaji...
Kenya yashinikiza marekebisho katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Rais William Ruto, ametoa wito wa kufanywa marekebisho katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ili kuliwezesha kukabiliana na changamoto ibuka duniani.
Kulingana na...
Rais Ruto aelekea Marekani kuhudhuria mkutano wa UNGA
Rais William Ruto Ijumaa usiku aliondoka hapa nchini kuelekea Jijini New York, Marekani, kuhudhuria makala ya 79 ya mkutano wa Baraza Kuu la Umoja...
Mradi wa ClimateWorX kuwaajiri vijana 200,000, asema Rais Ruto
Rais William Ruto siku ya Alhamisi alizindua Mradi wa Kitaifa wa Kukabiliana na Hali ya Hewa, ambao unalenga kubuni nafasi za kazi kwa vijana...
Rais Ruto kufanya ziara ya siku mbili Ujerumani
Rais William Ruto ataondoka hapa nchini Alhamisi jioni, kuelekea nchini Ujerumani kwa ziara rasmi ya siku mbili.
Ziara hiyo inalenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia, kitamaduni...
Rais Ruto ataka uchunguzi wa haraka kwa vifo vya wanafunzi...
Rais William Ruto ametaka uchunguzi wa haraka kufuatia vifo vya zaidi ya wanafunzi 21, katika shule ya Hillside Endarasha Academy katika mkasa wa moto...
Serikali yatangaza siku 3 kuomboleza wanafunzi wa Hillside
Rais William Ruto ametangaza siku tatu za kitaifa kuwaomboleza wanafunzi 18 wa shule ya Hillside Endarasha Nyeri, waliofariki katika mkasa wa moto.
Kupitia kwa taarifa...
China yatakiwa kuimarisha ushirikiano wake na Afrika
Rais William Ruto, ametoa wito kwa China iimarishe ushirikiano baina yake na mataifa ya Afrika, kwa kusaidia mataifa hayo kupata ufadhili wa masharti nafuu...