Tag: Westlands
Wanyonyi awarai Wabunge kuwapiga msasa vyema Mawaziri walioteuliwa
Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi amewataka Wabunge kuwapiga msasa ipasavyo Mawaziri walioteuliwa na Rais william Ruto, ili kuhakikisha ni wale tu wanaofaa watakaoidhinishwa.
Wanyonyi amesema...
Wanyonyi atoa zawadi ya Krismasi kwa wakongwe 300
Katika moyo wa kusherehekea siku kuu ya Krismasi Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi, ametoa msaada wa chakula kwa zaidi ya wakongwe 300 kutoka eneo...
Wanyonyi ana imani ya kushinda ugavana Nairobi mwaka 2027
Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi ameelezea matumaini yake ya kunyakua kiti cha Ugavana wa kaunti ya Nairobi katika uchaguzi wa mwaka 2027 .
Wanyonyi...