Tag: Waziri Owalo
Owalo akutana na mwenyekiti mpya wa bodi ya KBC
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Dijitali Eliud Owalo leo Jumatatu asubuhi alikutana na Tom Mshindi ambaye ni mwenyekiti mpya wa bodi ya...
Serikali yasema Worldcoin haijasajiliwa nchini Kenya
Worldcoin ni kampuni ambayo haijasajiliwa kisheria nchini Kenya.
Serikali ilisitisha shughuli za kampuni hiyo inayojihusisha na sarafu ya kidijitali mtandaoni humu nchini jana Jumatano huku...
Waziri Owalo: Majaribio ya udukuzi yalitibuliwa
Kumekuwa na majaribio kadhaa ya udukuzi yaliyolenga serikali na sekta ya kibinafsi katika kipindi cha wiki moja iliyopita.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa...
Mipango ya ziara ya Rais Ruto eneo la Nyanza yashika kasi
Mawaziri Eliud Owalo wa Habari na Mawasiliano na Kipchumba Murkomen wa Barabara leo Ijumaa wamekutana na wabunge watano wa eneo la Nyanza.
Wabunge hao ni...