Home Tags Waziri Nakhumicha

Tag: Waziri Nakhumicha

Waziri Nakhumicha afanya ziara ya kushtukiza KNH

0
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha jana Jumatano usiku alifanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya kitaifa ya rufaa ya Kenyatta, KNH ili kutathmini utendakazi...

Ulaghai yamkini uliigharimu NHIF shilingi bilioni 20 mwaka 2023, asema Nakhumicha

0
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amesema serikali imetambua vituo vya afya ambavyo vimekuwa vikiilaghai serikali kupitia Hazina ya Kitaifa ya Bima ya Matibabu, NHIF. Kwa...

Waziri Nakhumicha alaani kushambuliwa kwa wahudumu wa afya

0
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha ameshutumu visa vya kushambuliwa kwa wahudumu wa afya nchini, akionya kuwa wanaotekeleza visa kama hivyo watachukuliwa hatua kali za...

Bodi Mpya ya Mamlaka ya Afya ya Jamii yazinduliwa

0
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha leo Jumatatu amezindua Bodi mpya ya Mamlaka ya Afya ya Jamii, SHA.  Bodi hiyo ya wanachama sita itasimamiwa na Dkt....

Wahamasishaji wa afya ya jamii waanza kupewa simu za smartphone

0
Serikali imeanza kuwapatia wahamasishaji wote 100,000 wa afya ya jamii simu za mkononi aina ya smartphone kuendana na ajenda ya afya ya dijitali.  Ili kudhihirisha...

Magavana watakiwa kutoa kipaumbele kwa afya ya msingi

0
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amesisitiza haja ya kutoa huduma msingi za afya, PHC ili kufanikisha upatikanaji wa afya kwa wote, UHC kote nchini.  Ametoa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS