Home Tags Waziri Kindiki

Tag: Waziri Kindiki

Pombe haramu: Maafisa wa usalama wanaozembea kazini kufutwa kazi

0
Maafisa wa usalama na utawala watakaopatikana wakikosa kuchukua hatua kali dhidi ya utengenezaji, uuzaji na unywaji wa pombe haramu kuanzia sasa watafutwa kazi.  Awali, maafisa...

Utoaji wa pasipoti: Matapeli wamlazimu Waziri Kindiki kuomba msamaha

0
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki ameomba msamaha kutokana na mapungufu ya muda mrefu na ukawiaji unaoshuhudiwa katika utayarishaji wa utoaji wa...

Waziri Kindiki abuni maeneo mapya ya utawala katika kaunti 31

0
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki amebuni maeneo mapya ya utawala katika kaunti 31 kwa kusudi la kuboresha uratibu wa huduma za...

Maafisa wa usalama, raia wanaojituma katika vita dhidi ya uhalifu kuzawadiwa

0
Serikali kuu itaanzisha mpango wa kuwazadia fedha maafisa wanaojituma kazini na raia wanaosaidia katika juhudi za kuwakamata wapangaji wakuu, watekelezaji na wawezaji wa uhalifu ...

Kindiki: Mabadiliko ya tabia nchi ni tishio kwa taifa

0
Mabadiliko ya tabia nchi ni moja ya matishio makuu matano yanayoikumba nchi hii.  Matishio mengine ni pamoja na ugaidi, wizi wa mifugo, matumizi ya pombe...

Kindiki: Ushirikiano wa jamii muhimu kwa vita dhidi ya ugaidi

0
Serikali kuu inawekeza katika mpango unaolenga kukuza uaminifu na pia kuhakikisha jamii mbalimbali zinaishi kwa amani katika kaunti ya Lamu na kote nchini.  Waziri wa...

Ugaidi ungali tishio kwa Kenya, asema Waziri Kindiki

0
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki ametaja ugaidi kuwa miongoni mwa matishio makuu zaidi yanayoikabili Kenya.  Anasema serikali imeazimiia kutumia njia mbalimbali kukabiliana...

Polisi hawatahudumu kituo kimoja zaidi ya miaka 3, asema Kindiki

0
Hakuna afisa yeyote wa polisi atakayeruhusiwa kuhudumu katika kituo kimoja zaidi ya miaka mitatu.  Agizo hilo, ambalo ni sehemu ya mapendekezo ya Jopokazi juu ya...

Kindiki: Nafasi za Machifu na Manaibu wao kujazwa ndani ya siku...

0
Nyadhifa zote zilizo wazi za Machifu na Manaibu wao zitajazwa ndani ya siku 90 zikihusisha zile ambazo mchakato wa kuwahoji watu wa kuzijaza tayari...

Tutawaangamiza wezi wa mifugo na wahalifu, aapa Waziri Kindiki

0
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki ametoa onyo kali kwa wezi wa mifugo na wahalifu wanaowahangaisha Wakenya katika maeneo mbalimbali ya nchi.  Amesema...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS