Tag: Watumishi wa umma
Rais Ruto: Ukifikisha umri wa miaka 60, naomba ustaafu kwa amani
Watumishi wa umma wametakiwa kuhakikisha wanafunga virago na kwenda nyumbani punde wafikishapo umri wa miaka 60.
Kumekuwa na visa vilivyokithiri vya watumishi hao kutaka kuongezewa...
Watumishi wa umma zaidi ya 150 wachunguzwa kwa kughushi vyeti
Watumishi wa umma zaidi ya 150 wanachunguzwa kwa sasa kutokana na tuhuma za kughushi vyeti vya masomo.
Watu wengine 13 wanakabiliwa mashtaka ya kughushi...
Watumishi wa umma waonywa dhidi ya ufisadi
Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei amesema watumishi wa umma watawajibishwa kwa ubadhirifu wa rasilimali za umma katika idara zao.
Koskei amesema serikali inakusudia...