Home Tags Washukiwa

Tag: Washukiwa

10 washtakiwa kwa ulaghai wa uuzaji ardhi wa shilingi bilioni moja

0
Watu 10 wameshtakiwa kwa kosa la udanganyifu wa uuzaji ardhi wa shilingi bilioni moja jijini Nairobi.  Kisa hicho kimekuwa kikichunguzwa kwa muda na Kitengo cha...

Mahakama yatoa kibali cha kukamatwa kwa walinzi 10 wa baa ya...

0
Mahakama imetoa kibali cha kukamatwa kwa walinzi 10 wa baa ya Kettle House & Grill waliokosa kufika mahakamani kuhusiana na kushambuliwa kwa waandishi wa...

Washukiwa wa ulaghai wa dhahabu wanaswa Kileleshwa, Nairobi

0
Washukiwa kadhaa wanaoshukiwa kujihusisha katika sakata kubwa ya dhahabu wamenaswa katika mtaa wa Kileleshwa, kaunti ya Nairobi.  Idara ya Upelelezi wa Jinai, DCI inasema washukiwa...

Serikali yachapisha majina ya washukiwa wa ugaidi Lamu

0
Serikali ya Kenya imechapisha majina na picha za washukiwa wa ugaidi, wanaoaminika kuhusika katika mashambulizi ya hivi punde katika kaunti ya Lamu. Idara ya upelelezi...

Polisi Pokot Magharibi wanasa risasi 749, washukiwa watoroka

0
Polisi katika kaunti ya Pokot Magharibi wamenasa risasi 749 zinazotumiwa katika bunduki aina ya AK47.  Pokot Magharibi ni miongoni mwa kaunti za kaskazini mwa nchi...

Watu 312 wakatamatwa kuhusiana na maandamano yenye vurugu

0
Watu 312 wamekamatwa kufuatia vurugu zilizoshuhudiwa jana Jumatano wakati wa maandamano yaliyoitishwa na muungano wa upinzani wa Azimio. Mbunge wa Mavoko Patrick Makau ni miongoni...

Washukiwa watano wa ujambazi wakamatwa Nairobi

0
Washukiwa watano wa ujambazi waliokuwa wamejihami kwa silaha wamekamatwa jijini Nairobi. Bastola pia ilipatikana wakati wa operesheni hiyo iliyoongozwa na makachero kutoka Idara ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS