Tag: Wanahabari
Wanahabari waandamana, washinikiza uhuru wa vyombo vya habari
Wanahabari kote nchini leo Jumatano wanafanya maandamano wakitaka serikali kuhakikisha uhuru wa vyombo vya habari unalindwa na kuheshimiwa.
Maandamano hayo pia yanalenga kulalamikia ukatili wa...
Wanahabari Kiambu waandamana, walaani kupigwa risasi kwa Catherine Wanjeri
Wanahabari mjini Kiambu wameandamana leo Jumatano kulalamikia kupigwa risasi kwa mwenzao mjini Nakuru wakati wa maandamano ya vijana wa Gen Z jana Jumanne.
Wamelaani vikali...
Maandamano: MCK yalalamikia kunyanyaswa kwa wanahabari
Baraza la Vyombo vya Habari nchini, MCK limelaani vikali hatua ya maafisa wa usalama kuwanyanyaswa wanahabari waliofuatilia maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024...
Idara ya mahakama yalaani kunyanyaswa kwa wanahabari
Idara ya mahakama imeshutumu vikali kudhulumiwa kwa wanahabari katika majengo ya mahakama ya Milimani.
Hii ni baada ya maafisa wa polisi kunaswa kwenye picha ya...