Tag: Walemavu
Serikali kuangazia maslahi ya wanaoishi na ulemavu kote nchini
Serikali kupitia Hazina ya Kitaifa ya Walemavu Nchini sasa inasema kuwa imetenga kima cha shilingi zaidi ya milioni 100 mwaka huu kufadhili miradi mbalimbali...
Wakenya zaidi ya 600,000 wasajiliwa chini ya mpango wa Inua Jamii
Wakenya 601, 539 wanaostahiki kusajiliwa chini ya mpango wa Inua Jamii walisajiliwa na serikali kufikia leo Jumatatu asubuhi.
Mpango huo unalenga kuwasajili wazee, watoto mayatima,...