Home Tags Wakulima

Tag: Wakulima

Mbolea ya bei nafuu: Ruto awaondolea wakulima wasiwasi

0
Rais William Ruto amewaelezea Wakenya kwamba serikali itahakikisha mbolea ya bei nafuu inapatikana kabla ya kuanza kwa msimu ujao wa upanzi.  Amefutilia mbali hofu ya...

Wakulima wa kahawa kufurahia malipo bora

0
Wakulima wa kahawa nchini wanatazamiwa kufurahia mavuno ya walichopanda baada ya kubainika kuwa watakuwa wanapokea shillingi 80 kwa kila kilo ya zao hilo.  Hii ni...

Waiguru: Mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Kenya na EU...

0
Mwenyekiti wa Baraza la Magavana Anne Waiguru amepongeza kutiwa saini kwa mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Kenya na Umoja wa Ulaya, EU.  Mkataba...

Wakulima wagawiwa mbegu Nyandarua

0
Mvua kubwa inayonyesha katika maeneo mbalimbali nchini imemfanya Gavana wa kaunti ya Nyandarua Kiarie Badilisha kuanzisha kampeni ya kuwawezesha wakulima kupitia ugavi wa mbegu...

Wakulima wakadiria hasara Mandera kufuatia mafuriko

0
Wakulima katika kaunti ya Mandera wanakadiria hasara kubwa kutokana na mafuriko yaliyosababisha uharibifu mkubwa katika kaunti hiyo.  Wakulima katika eneo la Mandera Mashariki, hasa katika...

Wizara zatakiwa kupunguza bajeti zao kwa asilimia 10

0
Rais William Ruto ameziagiza wizara kupunguza bajeti zao za mwaka 2023/2024 kwa asilimia 10 ili kuhakikisha matumizi ya wizara hizo yanawiana na rasilimali zilizopo...

Gachagua: Mchakato wa kuifanyia mabadiliko sekta ya kahawa utachukua muda

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema mchakato wa kuifanyia mabadiliko sekta ya kahawa nchini utachukua muda mrefu na sasa anatoa wito kwa wakulima wa zao...

Wakulima watakiwa kujisajili ili kunufaika na huduma za serikali

0
Serikali ya kaunti ya Makueni imeanzisha mpango wa kusajili wakulima wote kwa ushirikiano wa karibu na serikali kuu. Hii ni kwa mujibu wa Katibu wa...

Wakulima kurejelea ukulima wa kahawa Mbooni

0
Wakulima zaidi ya 1,000 wa Chama cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa cha Kikima katika eneo la Mbooni kaunti ya Makueni wameahidi kurejelea shughuli...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS