Home Tags Wakenya

Tag: Wakenya

Wakenya waonywa dhidi ya kushirikishana taarifa za kibinafsi

0
Kamishna wa Ulinzi wa Data Immaculate Kassait amewaonya Wakenya dhidi ya kushirikishana taarifa za kibinafsi za watu bila idhini ya watu hao.  Katika taarifa, Kassait...

Mswada wa Fedha 2024 kuwasilishwa bungeni leo Jumanne

0
Macho ya Wakenya yataelekea kwenye bunge la kitaifa ambako Mswada wa Fedha 2024 unatarajiwa kuwasilshwa leo Jumanne.  Mswada huo umekumbana na pingamizi za kila aina...

Ruto asema mfumo wa dijitali utasaidia kukomesha ufisadi

0
Serikali haitawakubalia watu wafisadi kuchelewesha uwekaji wa huduma za serikali kwenye mfumo wa dijitali, amesema Rais William Ruto. Ameongeza kuwa serikali imejitolea kuhakikisha mpito kuelekea...

Shamrashamra za Sikukuu ya Krismasi

0
Wakenya waliungana na ulimwengu katika kuadhimisha Sikukuu ya Krimasi kwa mbwembwe za aina yake jana Jumatatu.  Wengi walifurika makanisani kuomba dua kufuatia kuzaliwa kwa Mwokozi...

Ruto atoa wito kwa Wakenya kuwa wazalendo

0
Rais William Ruto ametoa wito kwa Wakenya kuwa wazalendo na kudumisha maadili waliokuwa nayo watangulizi wa nchi.  Amesema Wakenya wanapaswa kuendelea kuwa na mtazamo chanya...

Mazungumzo yaangazie maslahi ya Wakenya, ashauri Asofu Sapit

0
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiangilikana humu nchini, ACK Jackson ole Sapit ametoa wito kwa timu za mazungumzo yanayolenga kuleta amani nchini kuyapa kipaumbele...

Wakenya wanaoishi ng’ambo watuma nchini shilingi bilioni 48.8

0
Wakenya wanaoishi ughaibuni walituma nchini shilingi bilioni 48.8 mwezi Juni mwaka huu. Hii ni kulinganisha na shilingi bilioni 49.6 walizotuma mwezi Mei. Hatua hiyo inamaanisha kiwango...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS