Home Tags Voi

Tag: Voi

Masomo yasimamishwa KU kuwaomboleza wanafunzi waliofariki

0
Chuo Kikuu cha Kenyatta, KU  kimesimamisha masomo kwa muda wa siku tatu ili kutoa fursa ya kuomboleza wanafunzi waliofariki katika ajali ya barabarani Jumatatu...

Wanafunzi wasiopungua 10 wa Chuo Kikuu cha Kenyatta wafariki katika ajali

0
Wanafunzi wasiopungua 10 wa Chuo Kikuu cha Kenyatta wameripotiwa kufariki katika ajali ya barabarani leo Jumatatu jioni. Hii ni baada ya basi la chuo hicho kugongana...

Basi la kampuni ya Tahmeed lateketea

0
Basi linalimolikiwa na kampuni ya usafiri ya Tahmeed lilishika moto muda mfupi baada ya abiria kuondolewa karibu na mji wa Voi kwenye barabara kuu...

Matukio ya Taifa: Wakaazi wa Sofia, Taita Taveta waishi kwa hofu...

0
Wakaazi wa Kijiji Cha Sofia Relini mjini Voi kaunti ya Taita taveta Sasa wanaishi Kwa hofu ya kufurushwa kutoka makaazi yao baada ya Watu...

Wakazi wa mji wa Voi wahaha kufuatia mafuriko

0
Vijiji kadhaa mjini Voi vimezingirwa na mafuriko baada ya mto Voi kuvunja kingo zake leo Jumatatu asubuhi. Shirika la Msalaba Mwekundu limeanzisha zoezi la utafutaji...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS