Home Tags Vihiga

Tag: Vihiga

Hospitali zapokea vifaa tiba Vihiga

0
Serikali ya kaunti ya Vihiga imesambaza dawa na vifaa vingine vya matibabu vya gharama ya shilingi milioni 38 kwa hospitali zote za umma za...

Washukiwa wa wizi wa mabavu wakamatwa Vihiga

0
Washukiwa wawili wa wizi wa kimabavu ambao wamekuwa mafichoni kwa muda wa miezi miwili, wametiwa nguvuni. Washukiwa hao wanadaiwa kumshambulia dereva wa lori katika soko...

Washukiwa wa mauaji ya ajuza kaunti ya Vihiga wakamatwa

0
Washukiwa wawili wa wizi wa kimabavu wanaoaminika kuwa sehemu ya genge lililomuibia, kumbaka na kumuua mwanamke wa umri wa miaka 76 mwezi uliopita  katika...

Zinga: Miaka kumi ya ugatuzi, mafanikio na changamoto zake

0
Mfumo wa ugatuzi umeonekana kupeleka maendeleo mashinani. Lakini ijapokuwa umesifiwa kwa kuchochea maendeleo hayo, kumekuwa na changamoto si haba, mojawapo likiwa swala sugu la...

EACC yashikilia mali ya maafisa wa serikali ya kaunti ya Vihiga

0
Tume ya Maadili na Kukabiliana na Ufisadi (EACC), imepata maagizo ya mahakama ya kushikilia majengo mawili yaliyonunuliwa kwa kutumia fedha zilizoporwa kutoka serikali ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS