Home Tags Usalama

Tag: Usalama

Viongozi wa Isiolo wamshutumu Kindiki kufuatia kuzorota kwa usalama

Viongozi wa jamii ya Wasomali katika kaunti ya Isiolo wamemshtumu Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki kwa madai ya kukosa kuchukua hatua...

Murkomen awasihi madereva kutahadhari msimu huu wa Krismasi

0
Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen ametoa wito kwa madereva kuzingatia kanuni za usalama barabarani ili kuepusha kutokea kwa ajali wakati huu wa msimu wa...

Kindiki: Ushirikiano wa jamii muhimu kwa vita dhidi ya ugaidi

0
Serikali kuu inawekeza katika mpango unaolenga kukuza uaminifu na pia kuhakikisha jamii mbalimbali zinaishi kwa amani katika kaunti ya Lamu na kote nchini.  Waziri wa...

Polisi Pokot Magharibi wanasa risasi 749, washukiwa watoroka

0
Polisi katika kaunti ya Pokot Magharibi wamenasa risasi 749 zinazotumiwa katika bunduki aina ya AK47.  Pokot Magharibi ni miongoni mwa kaunti za kaskazini mwa nchi...

Serikali kutuma vikosi maalum maeneo yanayokumbwa na ukosefu wa usalama

0
Serikali ina mipango ya kutuma vikosi maalum kukabiliana na ukosefu wa usalama katika maeneo ya kaskazini mwa nchi na nyanda za juu za Pwani,...

Usalama waimarishwa Nairobi wakati Kongamano la Tabia Nchi liking’oa nanga

0
Maelfu ya maafisa wa usalama wameshika doria kila pembe ya jiji kuu la Kenya, Nairobi wakati Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi likianza jijini...

Usalama waimarishwa nchini kabla ya maandamano ya Azimio

0
Hali ya usalama imeimarishwa kote nchini kabla ya maandamano yaliyopangwa na muungano wa upinzani, Azimio kufanyika. Hali ya utulivu pia imeshuhudiwa katika sehemu mbalimbali...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS