Tag: USA
Rais Ruto aelekea Marekani kuhudhuria mkutano wa UNGA
Rais William Ruto Ijumaa usiku aliondoka hapa nchini kuelekea Jijini New York, Marekani, kuhudhuria makala ya 79 ya mkutano wa Baraza Kuu la Umoja...
Raia wa Marekani, Uhispania na Czech wazuiliwa nchini Venezuela
Venezuela imewazuilia raia watatu wa Marekani, Wahispania wawili na raia wa Czech kutokana na madai ya njama ya kuyumbisha taifa hilo la Amerika Kusini....
Marekani yatoa tahadhari ya usalama kwa raia wake nchini Kenya
Marekani imetoa tahadhari ya usalama kwa raia wake wanaoishi nchini, kuhusu uwezekano wa kutekelezwa kwa mashabulizi ya kigaidi.
Kulingana na Ubalozi wa Marekani nchini Kenya...
Wafanyakazi wa kampuni ya Boeing wagoma nchini Marekani
Shughuli za kawaida katika kiwanda cha kampuni ya Marekani cha kuunda ndege aina ya Boeing, zimekwama Ijumaa baada ya wafanyakazi kususia kazi wakiteta kuhusu...
Portable aelezea sababu ya kumkasirikia Davido
Mwanamuziki wa Nigeria Portable hatimaye ameelezea ni kwa nini amekasirishwa na mwanamuziki mwenzake Davido.
Katika mahojiano kwenye kipindi Echo Room, Portable alisema kwamba sababu kuu...
Gloria Muliro kuandaa tamasha New York Marekani
Mwimbaji wa nyimbo za injili Gloria Muliro ametangaza ujio wa tamasha lake la nyimbo za injili litakaloandaliwa jijini New York nchini Marekani.
Aliweka tangazo la...
Kendrick Lamar kutumbuiza kwenye Super Bowl
Mwanamuziki Kendrick Lamar Duckworth maarufu kama Kendrick Lamar ndiye atatumbuiza wakati wa mapumziko kwenye awamu ya 59 ya shindano la kila mwaka la soka...
Waziri Joho akutana na balozi wa Marekani Whitman
Waziri wa Uchumi wa Baharini na masuala ya usafiri wa majini Hassan Joho, alifanya kikao na Balozi wa Marekani nchini Kenya Meg Whitman, siku...
Miito ya Marekani kukomesha ufadhili kwa Israel yarejelewa
Miito ya Marekani kusitisha ufadhili kwa Israel imerejelewa tena kufuatia shambulizi baya katika shule moja katika ukanda wa Gaza.
Ufadhili huo unajumuisha wa kifedha pamoja...
Marekani yatahadharisha raia wake nchini Kenya kuhusu kemikali ya Cyanide
Serikali ya Marekani imetahadharisha raia wake walioko nchini Kenya wasipitie kwenye barabara ya kuu nambari A104 katika eneo la Kambembe huko Rironi, kaunti ya...