Home Tags Urusi

Tag: Urusi

Idadi ya waliofariki katika shambulizi la Moscow yaongezeka hadi 113

Idadi ya waliofariki kutokana na shambulizi la Ijumaa jioni lililotokea katika ukumbi wa jiji la Crocus viungani mwa mji wa Moscow, imeongezeka na kufikia...

Urusi inavutiwa na madini ya Equatorial Guinea – Putin

0
Rais Vladimir Putin anasema kuwa makampuni ya Urusi yana nia "kubwa" katika kuchimba rasilimali za madini nchini Equatorial Guinea. Amefanya mazungumzo na Rais wa Equatoguine...

Putin afanya mazungumzo na kiongozi wa mashariki mwa Libya

0
Rais Vladimir Putin wa Urusi amefanya mazungumzo na kiongozi wa kijeshi wa mashariki mwa Libya, Khalifa Haftar mjini Moscow. Vikosi vya Jenerali Haftar vilitegemea zaidi...

‘Uovu wa Urusi hauwezi kuaminiwa’ – Zelensky aiambia UN

0
"Uovu hauwezi kuaminiwa," Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameliambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, huku akihimiza ulimwengu kuungana ili kukomesha uchokozi wa Urusi...

Hakuna ushahidi unaothibitisha Afrika Kusini iliipatia silaha Urusi – uchunguzi

0
Uchunguzi huru haujapata ushahidi wowote kwamba Afrika Kusini ilisambaza silaha kwa Urusi, Rais Cyril Ramaphosa amesema. Jopo hilo lilipinga madai yaliyotolewa na balozi wa Marekani...

Afrika kwa Urusi, Urusi kwa Afrika

0
Tarehe 29 mwezi Julai, 2023 katika mji wa Saint-Petersburg kulikuwa mkutano kwa kiwango cha juu baina ya Yuri Korobov, Rais wa Jumuiya ya Urusi...

Ukraine haina uhusiano wowote na ajali ya ndege – Zelensky

0
Ukraine haikuhusika katika kifo kilichoripotiwa cha bosi wa Wagner Yevgeny Prigozhin, Rais Volodymyr Zelensky anasema. "Hatuhusiki katika hali hii, hiyo ni hakika. Nadhani kila mtu...

Ukraine yashambulia ndege hatari ya Urusi

0
Ndege kubwa ya Urusi ya kurusha mabomu ya masafa marefu imeharibiwa katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Ukraine, kulingana na ripoti. Picha zilizochapishwa...

Urusi yataka NATO kutoshiriki mkutano wa maandalizi ya mapitio ya NPT

0
Wajumbe wanaohudhuria mkutano wa maandalizi ya Mkutano wa Mapitio wa Mwaka 2026 wa Mkataba wa Kuzuia Ueneaji wa Silaha za Nyuklia, NPT unaofanyika nchini...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS