Tag: University funding model
Serikali yaunda kamati ya kutathmini mfumo wa kufadhili elimu
Serikali imeonekana kulegeza msimamo na kubuni kamati mbili zitakazotathmini mfumo mpya wa kufadhili elimu ya vyuo vikuu.
Akitangaza hayo Jumapili, Waziri wa Elimu Julius Migos...