Home Tags UN

Tag: UN

Dunia Wiki Hii : Mahakama ya Hague yaandaa vikao kusikiliza kesi...

0
Kwenye kikao hicho kilichofanyika katika majengo ya mahakama hiyo mjini Hague, upande wa Afrika kusini uliishtumu Israel ulizungumzia mauaji maksudi yahalaiki dhidi ya wapalestina...

Ndege ya mizigo ya Umoja wa Mataifa yaanguka Somalia

0
Ndege ya mizo iliyokodiwa na Umoja wa Mataifa kusafirisha bidhaa za msaada wa kibinadamu, ilianguka katika uwanja mdogo wa El-Barde nchini Somalia siku ya...

Wanajeshi wa UN kuondoka DRC kufikia mwisho wa mwaka huu

0
Wanajeshi waliotumwa katika Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, DRC na Umoja wa Mataifa, UN kusaidia kudumisha amani nchini humo wataondoka kabisa kufikia mwisho wa...

Balozi wa Ufaransa UN atoa wito wa kusitishwa mapigano

0
Balozi wa Ufaransa katika Umoja wa Mataifa, UN ametoa wito wa kuwepo kwa "maafikiano ya kibinadamu" huko Gaza. Kufuatia kikao cha Baraza la Usalama kilichokuwa...

Mashirika ya UN yatoa wito wa kusitishwa kwa mapigano Gaza

0
Wakuu wa mashirika yote makubwa ya Umoja wa Mataifa, UN wametoa taarifa ya pamoja wakitoa wito wa "kusitishwa mapigano mara moja kwa sababu za...

Wapalestina 9,000 wameangamia katika vita vya Gaza

0
Takriban Wapalestina 9,000 wamefariki tangu kuanza kwa vita katika ukanda wa Gaza, majeshi ya Israel yakipigana na wanamgambo wa kundi haramu la Hamas. Kulingana na...

Dunia Wiki Hii : Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa...

0
Kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA kilianza jijini New York, Marekani Septemba 5 huku shughuli za ngazi za juu...

Ruto ataka usawa wa masharti ya mikopo kwa mataifa ya Afrika

0
Rais William Ruto amesema ipo haja ya bara la Afrika kuwekewa masharti sawa ya mikopo na mataifa mengine ya ulimwenguni. Ruto amesema haya Alhamisi alipozungumza...

‘Uovu wa Urusi hauwezi kuaminiwa’ – Zelensky aiambia UN

0
"Uovu hauwezi kuaminiwa," Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameliambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, huku akihimiza ulimwengu kuungana ili kukomesha uchokozi wa Urusi...

Viongozi zaidi ya 140 kuhudhuria kikao cha 78 cha Umoja wa...

0
Viongozi zaidi ya 140 kutoka mataifa mbalimbali wako jijini New York, Marekani kuhudhuria kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Kikao...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS