Home Tags Ukraine

Tag: Ukraine

Biden na Macron wafanya majadiliano

0
Kiongozi wa nchi ya Ufaransa Emmanuel Macron alimlaki mwenzake wa Marekani Joe Biden Jumamosi Juni 7, 2024 jijini Paris. Biden ambaye yuko kwenye ziara nchini...

Putin: Tuko tayari kutumia silaha za nyuklia

0
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameonya kwamba nchi yake iko tayari kabisa kutumia sialaha za Nyuklia iwapo uhuru wa nchi hiyo utatishiwa kwa vyovyote. Aliyasema...

Wanaodharau jeshi kupokonywa mali yao nchini Urusi

0
Wabunge wa bunge la chini, nchini Urusi linalofahamika kama "State Duma" wamepitisha sheria inayodhamiriwa kudhibiti watu ambao wanadharau jeshi. Itakapotiwa saini na kuanza kutumika sheria...

Vita vya Ukraine: Kyiv yalazimika kupunguza operesheni za kijeshi

0
Ukraine imeonya kuwa tayari inalazimika kupunguza baadhi ya operesheni za kijeshi kwa sababu ya kupugua kwa misaada ya kigeni. Jenerali mkuu Oleksandr Tarnavskyi alisema wanajeshi...

Marekani kutoa misaada zaidi kwa Ukraine

0
Waziri wa ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin, ametangaza msaada mpya wa kijeshi wa dola milioni 100 kwa Ukraine. Ametangaza hayo wakati wa ziara ambayo haikutangazwa...

Austin azuru Ukraine kuihakikishia usaidizi wa Marekani

0
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin amefanya ziara ya kushtukiza mjini Kyiv, Ukraine ili kuihakikisha nchi hiyo kuwa Marekani itaendelea kutoa usaidizi wake...

Marekani yatoa risasi milioni moja kwa Ukraine

0
Marekani imetuma nchini Ukraine takriban risasi milioni 1.1 zilizonaswa kutoka Iran mwaka jana, jeshi lake limesema. Kamandi Kuu ya Marekani (Centcom), ambayo inasimamia operesheni katika...

‘Uovu wa Urusi hauwezi kuaminiwa’ – Zelensky aiambia UN

0
"Uovu hauwezi kuaminiwa," Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameliambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, huku akihimiza ulimwengu kuungana ili kukomesha uchokozi wa Urusi...

Rais Macron asema bendera ya Urusi haifai kuwa kwenye michezo ya...

0
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesisitiza kwamba bendera ya Urusi haifai kupeperushwa kwenye michezo ya Olimpiki mwaka 2024 ambayo itaandaliwa katika nchi yake. Anasema...

Waziri wa Ulinzi wa Ukraine afutwa kazi na Zelensky

0
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Oleksii Reznikov amefutwa kazi, kiongozi wa nchi hiyo Volodymyr Zelensky ametangaza. Bw Reznikov ameongoza wizara hiyo tangu kabla ya kuanza...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS