Home Tags Uhuru Kenyatta

Tag: Uhuru Kenyatta

Uhuru: Elimu ni muhimu kwa ustawi wa Afrika

0
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amesisitiza umuhimu wa elimu katika kuhakikisha bara la Afrika linapiga hatua kimaendeleo.  Amelitaka bara hilo kufanya uwekezaji mkubwa katika elimu na...

Uhuru awasili Afrika Kusini kuongoza waangalizi wa AU kabla ya Uchaguzi...

0
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, amewasili Afrika Kusini kuongoza shughuli za uangalizi wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mnamo Mei 29, 2024. Uhuru atawaongoza wajumbe 60 wa Ujumbe...

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta asherehekea Krismasi na yatima

0
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta siku ya Jumamosi amesherehekea krismasi na makao kadhaa ya watoto nchini . Miongoni mwa makao ya watoto ambayo Kenyatta alitembelea ...

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta atoa krismasi ya shilingi milioni 1 kwa...

0
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ametoa zawadi ya Krismasi ya shilingi milioni 1 kwa kanisa la JCM eneo la Ruiru,kaunti ya Kiambu. Uhuru alitoa ahadi iyo...

Hali DRC: Uhuru alaani kuzinduliwa kwa muungano wa kijeshi

0
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amelaani vikali kubuniwa kwa muungano wa kijeshi na kisiasa unaolenga kumbandua mamlakani Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, DRC...

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta akutana na Balozi wa China Zhou Pingjian

0
Balozi wa China humu nchini Zhou Pingjian siku ya Jumatatu alimtembelea Rais mstaafu Uhuru Kenyatta afisini mwake jijini Nairobi. Taarifa kutoka kwa afisi ya Rais...

Viongozi wa Kenya Kwanza wamsuta Uhuru

0
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kwa muda amekuwa akilaumiwa na viongozi wanaoegemea utawala wa Kenya Kwanza.  Wakosoaji wake wakidai kuwa alichangia, kwa kiwango kikubwa tu, matatizo...

Mzozo wa Jubilee waendelea, mrengo wa Uhuru wakimbia ...

0
Mzozo wa chama tawala cha zamani Jubilee unaonekana kuendelea kutokota, baada ya mrengo wa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, kuwasilisha kesi katika mahakama ya Milimani...

Uhuru, Mama Ngina wamsifu mpiganiaji uhuru Muthoni wa Kirima

0
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na aliyekuwa Mama taifa Ngina Kenyatta, wameungana na wakenya katika kusherehekea maisha ya aliyekuwa mpiganiaji uhuru Muthoni Kirima. Uhuru alimtaja Muthoni...

Uhuru ahudhuria misa ya wafu inayoandaliwa na upinzani

0
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amehudhuria misa ya wafu inayoandaliwa na muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya, mtaani Karen kuwakumbuka Wakenya wanaodaiwa kuangamizwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS