Home Tags Uganda

Tag: Uganda

Mtaalamu wa vilipuzi katika kundi la ADF akamatwa

0
Jeshi la Uganda kwa ushirikiano na lile la Congo,limefanikiwa kukamata mtaalamu wa vilipuzi wa kundi haramu la Allied Democratic Forces - ADF katika oparesheni...

Uganda yaanza zoezi la kuhesabu watu

0
Uganda ilianza zoezi la Sensa ya 9 kuhesabu watu Ijumaa Mei 10 kote nchini humo huku idadi ya watu ikikadiriwa kufiki milioni 45. Sensa ya...

Museveni afungua uga wa Nakivubo tayari kwa AFCON 2027

0
Uwanja wa Nakivubo umefunguliwa rasmi siku ya Ijumaa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni, tayari kwa maandalizi ya kipute cha AFCON mwaka 2027 na...

Mahakama ya Kikatiba Uganda yakataa kuharamisha sheria zinazopinga ushoga

0
Mahakama ya Kikatiba nchini Uganda siku ya Jumatano ilikataa kuharamisha sheria mpya ya mwaka 2023 inayopinga ushoga na usagaji. Hata hivyo, majaji watano wa mahakama...

Kakake Jose Chameleone afariki

0
Mwanamuziki Jose Chameleone anaomboleza kifo cha kakake mkubwa kwa jina Humphrey Mayanja. Chameleone alichapisha picha ya Humphrey kwenye akaunti yake ya Instagram na kuweka...

Uganda yaanza kuuza mafuta miezi kadhaa baada ya kusitisha mkataba...

0
Kampuni ya kitaifa ya mafuta nchini Uganda (Unoc) imeanza kuuza bidhaa za mafuta nchini Uganda na kwa majirani Tanzania, siku chache baada ya...

Rais Museveni amteua mwanawe kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi

0
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe, Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) ya nchi hiyo. Uteuzi huo umezua mjadala...

IMF yaidhinisha mkopo wa dola milioni 120 kwa Uganda

0
Shirika la Fedha la kimataifa IMF,limeidhiniusha mkopo wa dola milioni 120 kwa Uganda baada ya kutathmini uwezo wake wa kulipia mkopo huo. Mkopo...

Mwanamitandao akamatwa Uganda kwa kumtukana Mfalme Kabaka

0
Jamaa mmoja maarufu kwenye mtandao wa TikTo raia wa Uganda, ambaye anasemekana kumtukana mfalme Kabaka wa ufalme wa Buganda, Ronald Mutebi na Rais Yoweri...

Mwanamuziki wa Uganda Adam Mulwana afariki

0
Mwanamuziki wa taifa jirani la Uganda Adam Mulwana ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 36, baada ya kuugua kwa muda mfupi kulingana na...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS