Home Tags Ufisadi

Tag: Ufisadi

EACC: Kaunti ya Busia ndio fisadi zaidi nchini

0
Kaunti ya Busia imeorodheshwa kuwa fisadi zaidi nchini. Hii ni kulingana na ripoti ya Kitaifa kuhusu Ufisadi (NEC) 2023 iliyotolewa na Tume ya Maadili na...

Ripoti ya EACC: West Pokot kidedea katika utoaji rushwa

0
Kaunti ya West Pokot ilikumbwa na visa vingi vya ulipaji rushwa mwaka wa 2023.  Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na EACC leo Jumatano juu ya...

Uvundo wa ufisadi: Ripoti ya EACC yaonyesha Wizara ya Usalama inaongoza

0
Wizara ya Usalama wa Kitaifa chini ya uongozi wa Waziri Prof. Kithure Kindiki imeorodeshwa kuwa fisadi zaidi nchini. Hii ni kwa mujibu wa ripoti...

Ruto aapa kuangamiza ufisadi nchini

0
Rais William Ruto amesema serikali imedhamiria kutokomeza ufisadi humu nchini.  Amesema mikakati kabambe imeweka kukabiliana na wale wanaokusudia kutumia vibaya fedha za umma. Rais Ruto amesema...

Vita dhidi ya ufisadi: mihimili mitatu ya serikali kushirikiana

0
Mihimili mitatu ya serikali ambayo ni serikali kuu, idara ya mahakama na bunge imekubali kushirikiana ili kuimarisha vita dhidi ya ufisadi nchini.  Hayo yaliafikiwa wakati...

Gachagua abadili nia, asema hawatasilisha lalama kwa JSC

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa sasa hatawasilisha malalamishi yake kwa Tume ya Huduma za Majaji, JSC.  Alikuwa ameapa leo Alhamisi kuwasilisha kwenye tume hiyo ombi...

JSC: Tumeangazia madai yote ya ufisadi na utovu wa nidhamu

0
Tume ya Huduma za Mahakama, JSC imewahakikishia Wakenya kwamba imeshughulikia madai yote ya ufisadi na utovu wa nidhamu yaliyowasilishwa kwake.  Hakikisho hilo linakuja wakati madai...

JSC yakosoa wanaoilimbikizia idara ya mahakama tuhuma za ufisadi

0
Tume ya Huduma za Mahakama, JSC imekashifu watu wanaokosoa idara ya mahakama kuhusu madai ya ufisadi ikisema kuwa walalamishi wanapaswa kuwasilisha ushahidi kwa tume...

Kituo cha masomo ya kupambana na ufisadi Afrika kuanzishwa Kenya

0
Kenya imechaguliwa kuwa mwenyeji wa Kituo cha Masomo ya Kupambana na Ufisadi na Utafiti barani Afrika.  Kituo hicho kitaanzishwa na Umoja wa Mamlaka za Kupambana...

Vita dhidi ya ufisadi: Rais Ruto atema cheche

0
Rais William Ruto amesema hakuna asasi ya serikali itakayosazwa katika vita dhidi ya ufisadi.  Isitoshe, amesema yuko tayari kuongoza jitihada za kupigana dhidi ya uongozi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS