Home Tags UEFA

Tag: UEFA

Atalanta Bargamo ndio mabingwa wa Europa League

0
Atalanta Bargamo ndio mabingwa  wa kombe la Europa League kwa mara ya kwanza baada ya kuwatitiga Bayer Leverkusen ya Ujerumani, mabao matatu kwa nunge...

Leverkusen kukabiliana na Atalanta fainali ya kombe la Europa League

0
Mabingwa wa Ujermani Bayer Leverkusen watakabiliana na Atalanta ya Italia katika fainali ya kuwania kombe la Europa League, Jumatano usiku mjini Dublin katika Jamhuri...

Bundesliga na Serie A kupata nafasi tano za ligi ya Mabingwa...

0
Ligi Kuu Uingereza imepoteza nafasi moja ya kushiriki Ligi ya Mabingwa barani Ulaya msimu ujao kwa ligi za Ujerumani,Bundesliga na ile ya talia Serie...

Ligi ya Mabingwa kuingia nusu fainali Jumanne

0
Kipute cha kuwania taji ya Ligi ya mabingwa barani Ulaya kitarejea Jumanne usiku kwa nusu fainali ya kwanza, baina ya Bayern Munich na Real...

PSG waikwatua Sociadad na kunusia robo fainali ya ligi ya...

0
Miamba wa Ufaranza PSG waliwazaba Real Sociedad mabao mawili kwa nunge kupitia mshambulizi matata wa Ufaranza Kyalin Mbappe na Bradley Barcelona namo dakika ya...

UEFA Super League kubuniwa baada ya Mahakama ya Ulaya kusema UEFA...

0
Ligi mpya ijulikanayo kama UEFA Super League, itabuniwa ilivyokuwa awali baada ya mahakama ya muungano wa mataifa ya Ulaya kusema Alhamisi kuwa shirikisho la...

Raundi ya 16 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yabainika

0
Droo ya mechi za raundi ya 16 bora kiwania taji ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya UEFA imetangazwa mkondo wa kwanza ukichezwa Februari mwakani...

UEFA yaahirisha mechi zote zilizoratibiwa kuchezwa Israel kwa wiki mbili

0
Shirikisho la Kandanda barani Ulaya, UEFA limeamua kuahirisha mechi zote zilizoratibiwa kuandaliwa nchini Isreal kwa majuma mawili yajayo kutokana na makabiliano yanayoendelea katika ukanda...

Harambee Stars yaporomoka nafasi nne katika uorodheshaji wa FIFA

0
Timu ya taifa ya Harambee Stars imeshuka kwa nafasi nne kutoka nambari 105 hadi 109 katika uorodheshaji wa dunia wa FIFA wa mwezi Septemba...

Juventus yafurushwa Europa Conference league kwa utundu

0
Juventus imeng'atuliwa kuahiriki mashindano ya kuwania kombe la UEFA Europa Conference League msimu ujao kwa ukiukaji wa sheria A fedha FFP. UEFA pia...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS