Home Tags UDA

Tag: UDA

Chama cha ANC kuungana na UDA

0
Sasa ni rasmi kwamba chama cha kinara wa mawaziri Musalia Mudavadi kitaungana na kile cha UDA kinachoongozwa na Rais William Ruto kabla ya uchaguzi...

Mbai apendekeza ugavi wa raslimali kwa kuzingatia ukubwa wa eneo

0
Mbunge wa Kitui East Nimrod Mbai amependekeza mfumo mpya wa ugavi wa raslimali kwa kuzingatia ukubwa wa eneo maarufu kama One Man, One Kilometre,One...

UDA kufanya uchaguzi wa mashinani Ijumaa

0
Chama tawala cha United Democratic Alliance,UDA kinaandaa uchaguzi wake wa mashinani siku ya Ijumaa ,April 26 . Kwa mjibu wa msimamizi wa bodi ya uchaguzi...

Gavana Kawira Mwangaza wa Meru ajiunga na UDA

0
Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza amejiunga na chama cha UDA. Mwangaza alifika katika makao makuu ya chama hicho jijini Nairobi leo Jumatano na...

Uchaguzi wa mashinani wa UDA kuanza Aprili 26

0
Chama cha UDA kitaanda uchaguzi wa mashinani katika awamu nne kuanzia mwishoni mwa mwezi huu.  Uchaguzi huo utafanywa kwa njia ya elektroniki katika hatua ambayo...

Rais Ruto aongoza mkutano wa UDA

0
Rais William Ruto leo Jumanne anaongoza mkutano wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya chama cha UDA.  Mkutano huo unafanyika katika makao makuu ya chama hicho...

Aliyekuwa msaidizi wa Raila Silas Jakakimba ajiunga na UDA

0
Aliyekuwa msaidizi wa kinara wa Azimio Raila Odinga Silas Jakakimba amejiunga na chama cha United Democratic Alliance (UDA). Jakakimba alichukua uamuzi huo jana Jumanne, miezi...

Usajili wa wanachama wapya wa UDA wazinduliwa Kitui

0
Viongozi wa chama cha UDA katika kaunti ya Kitui wamezindua mpango wa kusajili wanachama wapya wa chama hicho kwa lengo la kupunguza utawala wa...

Malalah awakemea wanaohujumu maendeleo, awataja kuwa maadui

0
Katibu Mkuu wa chama cha UDA Cleophas Malalah amewashutumu watu wanaotatiza utekelezaji wa miradi ya maendeleo unaofanywa na serikali ya Kenya Kwanza.  Watu kadhaa akiwemo...

Chama cha UDA kimeahirisha uchaguzi wake wa mashinani

0
Chama tawala cha United Democratic Alliance (UDA), kimeahirisha uchaguzi wake wa mashinani ambao ulikuwa ufanyike tarehe tisa mwezi Disemba mwaka 2023. Kupitia kwa taarifa, katibu...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS