Home Tags Uasin Gishu

Tag: Uasin Gishu

Aliyekuwa mwakilishi wadi wa Huruma apatikana amefariki

0
Aliyekuwa mwakilishi wa wadi ya Huruma katika kaunti ya Uasin Gishu Lucy Nge'ndo Njoroge Chomba, amepatikana akiwa amefariki chumbani mwake eneo la West indies...

Umeme kupotea katika kaunti nne Jumapili yasema KPLC

0
Kampuni ya kusambaza nguvu za umeme nchini KPLC imetangaza kutoweka kwa umeme siku ya Jumapili April 7 katika kaunti nne. Kaunti zitakazoathirika ni panmpja na...

Miili minne yapatikana shambani Eldoret

0
Miili minne imepatikana imetuowa kwenye shamba moja la mahindi mapema Jumapili karibu na kambi ya jeshi ya Moi mjini Eldoret. Walioshuhudia kisa hicho walisema...

Uasin Gishu ina uwezo kuandaa mechi za AFCON 2027, asema Bii

0
Gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jonathan Bii amejitokeza kimasomaso kutetea uwezo wa kaunti yake kuandaa mechi za kombe la mataifa ya Afrika, AFCON...

Rachel Ruto: Kilimo na biashara zitabadilisha uchumi wa Kenya

0
Mama taifa Rachel Ruto, amesema uwekezaji katika sekta za kilimo na biashara ni nguzo muhimu katika kukuza ajenda ya mabadiliko ya Kenya. Akihutubia kikao...

Seneta Mandago na wenzake wawili kufikishwa mahakamani Alhamisi

0
Seneta wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago anatarajiwa kufikishwa mahakamani Nakuru leo Alhamisi, Agosti 17, kujibu mashtaka kadhaa ya ufisadi. Mandago na wenzake wawili...

Seneta Mandago akamatwa na polisi

0
Seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago, amekamatwa na maafisa wa polisi saa chache baada ya mahakama kutoa kibali cha kukamatwa kwake, kuhusiana na sakata...

Ruto: Waliofuja fedha za ufadhili wa masomo Uasin Gishu wazirejeshe la...

0
Yeyote aliyefuja fuja fedha za mpango wa ufadhili wa masomo ya wanafunzi kutoka kaunti ya Uasin Gishu katika nchi za Canada na Ufini lazima...

DCI kuchunguza madai ya ufisadi katika mpango wa karo wa Uasin...

0
Idara ya upelelezi wa maswala ya Jinai DCI,  imeanzisha uchunguzi katika madai ya ufisadi kwenye mpango wa utoaji wa msaada wa karo katika serikali...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS