Home Tags Twalib Mbarak

Tag: Twalib Mbarak

Mashirika ya umma yatakiwa kutowalipa maafisa walioajiriwa na stakabadhi ghushi

0
Tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi nchini (EACC), imetoa arifa kwa taasisi zote za serikali ya kitaifa na zile za kaunti, kusimamisha malipo...

PSC: Watumishi wengi wa umma wanatumia vyeti ghushi vya masomo

0
Tume ya kuwaajiri watumishi wa umma PSC, imebainisha kuwa idadi kubwa ya watumishi wa umma waliajiriwa kutumia vyeti bandia vya masomo. Mwenyekiti wa tume...

Maafisa wa polisi wa trafiki wakamatwa wakipokea hongo Naivasha

0
Kizaazaa kilizuka katika barabara ya Naivasha- Mai Mahiu wakati maafisa wa tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi EACC, walipo wakamatwa maafisa wa polisi...

Koskei: Hakuna atakayesazwa katika vita dhidi ya ufisadi

0
Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei, amesema kuwa vita dhidi ya ufisadi vitaimarishwa. Koskei aliyekuwa akihutubu kwenye warsha ya wanahabari kuhusu uhalifu na uongozi...

EACC yatwaa ardhi iliyonyakuliwa kaunti ya Kisumu

0
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC imefutilia mbali ugawaji haramu wa kipande cha ardhi cha ekari 18 ambacho kilikuwa kimenyakuliwa na mtu...

EACC yaonya dhidi ya ufisadi kwenye manunuzi ya El Nino

0
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi nchini, EACC imeonya dhidi ya matumizi mabaya ya fedha za umma kwenye manunuzi yote yanayohusiana na maandalizi...

Magavana waonywa dhidi ya kuajiri kiholela

0
Tume ya kupambana na ufisadi nchini Kenya EACC imetoa onyo kwa magavana humu nchini dhidi ya kuajiri watu kiholela katika afisi zao. Kwenye taarifa kwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS