Home Tags Turkana

Tag: Turkana

Wakazi wa Turkana wahimizwa kutunza maeneo Chepechepe

0
Gavana wa kaunti ya Turkana Jeremiah Lomurkai, ametoa wito wa utunzaji bora wa maeneo maeneo chepechepe, ili kuimarisha uwezo wa maeneo hayo kuwa chanzo...

Matukio ya Taifa: Waraibu wa tumbaku Turkana watahadharishwa dhidi ya hatari...

0
Wakaazi wa kaunti ya Turkana haswa walio waraibu wa tumbaku wametahadharishwa dhidi ya hatari ya kuambukizwa ugonjwa wa saratani. Hii ni baada ya madaktari...

Rais Ruto: Polisi wa akiba zaidi watapelekwa Turkana

0
Rais William Ruto amesema Serikali inaimarisha operesheni za usalama katika kaunti ya Turkana na viunga vyake ili kukabiliana na wizi wa mifugo. Rais alisema Serikali...

Kenya yatafakari kuwaondolea raia wote wa dunia hitaji la viza

0
Serikali ya Kenya inafikiria kuondoa hitaji la viza kwa watu wote wanaozuru taifa hilo.  Hitaji hilo huenda likaondolewa ndani ya mwaka mmoja ujao. Rais William Ruto...

KBC yashirikiana na kaunti ya Turkana kwa sherehe za utamaduni

0
Shirika la Utangazaji nchini Kenya, KBC limeshirikiana na kaunti ya Turkana katika sherehe za mwaka huu za utamaduni wa jamii ya Waturkana zitakazoandaliwa kati...

Matukio ya Taifa: Ukosefu wa miundombinu chanzo kikuu cha ukosefu wa...

0
Kulingana na Naibu Inspekta Mkuu wa Polisi Gitivo Mwita, ukosefu wa barabara na mipaka thabiti katika kaunti ya Turkana umechangia pakubwa ukosefu wa usalama...

Mawaziri wanne kufika mbele ya bunge la seneti Jumanne

0
Mawaziri wanne wanatarajiwa kufika mbele ya Bunge la Seneti siku ya Jumanne, katika kaunti ya Turkana kujibu maswali kuhusu wizara zao. Bunge la Seneti linaandaa...

Vikao vya bunge la Seneti kuanza Jumatatu Turkana

0
Vikao vya Bunge la la seneti vitaanza Jumatatu Septemba 25 katika kaunti ya Turkana katika mpango wake maalum wa 'Seneti Mashinani'. Ni mara ya kwanza...

Zinga: Je, mila na tamaduni zina manufaa gani katika sekta ya...

0
Kuelekea sherehe ya sita ya kuadhimisha mila na tamaduni za jamii ya turkana waziri wa utalii na tamaduni katika kaunti ya Turkana Francis Mariao...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS