Tag: TSC
TSC kutangaza nafasi za kazi 20,000 wiki ijayo
Tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC itatangaza nafasi za kazi kwa walimu 20,000 wa shule za Junior secondary kwa mikataba.
Zaidi ya walimu laki moja...
Wabunge wataka majibu kuhusu kupandishwa vyeo kwa walimu
Kamati ya Bunge la taifa kuhusu Elimu imeitaka tume ya kuajiri walimu nchini TSC kushughulikia masuala ya utumishi shuleni, hasa uhaba wa walimu wa...
Walimu laki 3 watuma maombi ya kazi kwa TSC
Tume ya kuajiri walimu nchini TSC, imesema kwamba ilipokea maombi 314,117 ya kazi kutoka kwa walimu, huku nyadhifa wazi zikiwa elfu 46 pekee.
Nyadhifa hizo...
Tume ya TSC yatangaza nafasi 46,000 za ajira
Tume ya kuwaajiri walimu nchini (TSC) imetangaza nafasi 46,000 za ajira, kukabiliana na uhaba wa walimu hapa nchini.
Kulingana na tume hiyo kupitia kwa arifa,...
KUPPET yaruka ofa ya Waziri Ogamba kwa walimu wanagenzi
Chama cha Walimu wa shule za sekondari na vyuo KUPPET kimekataa kata kata ofa ya Waziri wa Elimu Julius Ogamba, kuwaajiri walimu wanagenzi kwa...
KUPPET yasitisha mgomo wa Walimu baada ya kuafikiana na TSC
Walimu kote nchini wanatarijiwa kurejea shuleni kesho Jumanne, baada ya Muungano wa walimu wa shule za sekondari na vyuo KUPPET, kutangaza kusitisha mgomo Jumatatu...
KUPPET wakalia serikali ngumu waapa kuendelea na mgomo
Uongozi wa chama cha Walimu wa shule za sekondari na vyuo KUPPET umeapa kuendelea na mgomo wa kitaifa siku ya Jumatatu ambayo itakuwa wiki...
Chama cha KUPPET kimesema kitaendelea na mgomo
Chama cha walimu cha -KUPPET kimesisitiza kuwa kitaendelea na mgomo hadi tume ya kuwaajiri walimu TSC ikubali kuafikia matakwa yao ya kabla ya kurejea...
Mahakama yasimamisha kwa muda mgomo wa KUPPET
Mahakama ya ajira na mahuasiano ya Leba nchini imesimamisha kwa muda mgomo wa walimu wanachama wa chama cha KUPPET ambao wengi ni walimu wa...
Mgomo wa walimu kuanza Jumatatu
Mgomo wa walimu ambao umepangiwa kuanza Jumatatu, Agosti 26, 2024 utaendelea kama ilivyopangwa.
Hii ni baada ya viongozi wa vyama vya walimu kukosa kuafikiana...