Tag: TIFA
Kura ya maoni ya TIFA: Waziri Kindiki apendekezwa kumrithi Gachagua
Utafiti wa hivi punde uliofanywa na kampuni ya TIFA unaonyesha kuwa Wakenya wengi wanataka Waziri wa Usalama wa Taifa Prof. Kithure Kindiki kutajwa kama...
Kura ya maoni ya TIFA: Asilimia 41 ya Wakenya wanataka Gachagua...
Ni asilimia 41 tu ya Wakenya wanaotaka Naibu Rais Rigathi Gachagua afurushwe kutoka wadhifa huo.
Kulingana na kura ya maoni iliyofanywa na kampun ya TIFA,...
Tifa: Wakenya wengi wanawaunga mkono vijana wa Gen Z
Wakenya wengi wanawaunga mkono vijana wa Gen Z, wanaoishinikiza serikali kufanya mabadiliko nchini. Hii ni kulingana na kura ya maoni iliyotekelezwa na kampuni ya utafiti...
Tifa yamtaja Kithure Kindiki kuwa Waziri mchapa kazi zaidi
Waziri wa usalama wa taifa Prof. Kithure Kindiki, ametajwa Waziri mchapa kazi zaidi, katika utafiti wa hivi punde uliotolewa na kampuni ya Tifa.
Katika utafiti...
Utafiti: Wengi wanaunga mkono kubuniwa kwa afisi ya kiongozi wa upinzani
Idadi kubwa ya Wakenya wanaunga mkono kubuniwa kwa afisi ya kiongozi wa upinzani.
Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kampuni ya Trends and...
Kura ya maoni: Nchi imechukua mwelekeo mbaya
Asilimia 56 ya Wakenya wanaamini nchi hii imechukua mwelekeo mbaya.
Hii ni kulinganisha na asilimia 48 ya Wakenya waliokuwa na maoni sawia mwezi Machi mwaka...