Home Tags TFF

Tag: TFF

Tanzania yampiga teke kocha Amrouche kutoka AFCON

0
Shirikisho la soka nchini Tanzania limemfurusha kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Adel Amrouche aliye na timu  inayoshiriki michuano ya AFCON nchini Ivory...

Simba wa milima ya Atlas waporomosha nyota ya ...

0
Simba wa milima ya Atlas, Morocco wamefungua kindumbwendumbwe cha AFCON kwa moto na radi baada ya kuititiga Taifa Stars kutoka Tanzania mabao matatu kwa...

Yanga yaikwatua Medeama kwa Mkapa

0
Yanga walisajili ushindi wa kwanza katika kundi D kuwania kombe la Ligi ya Mabingwa barani Afrika, baada ya kuwalemea Medeama kutoka Ghana mabao...

Uganda, Tanzania wajaajaa nusu fainali CECAFA

0
Uganda na Tanzania zimefuzu kwa nusu fainali ya michuano ya mwaka huu kuwania kombe la CECAFA kwa chipukizi walio chini ya umri wa miaka...

Wasimamizi wa michezo Tanzania waombwa kuwa makini

0
Rais wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassan amewataka wasimamizi wa michezo nchini humo kuwa makini ili kuhakikisha weledi katika uendeshaji wa shughuli za michezo. Alikuwa...

Simba na Yanga watinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

0
Klabu za Tanzania ,Simba na Yanga zimetinga hatua ya makundi ya kuwania kombe la Ligi ya Mabingwa barani Afrika msimu wa mwaka 2023/2024. Simba maaraufu...

Tanzania yafuzu kwa AFCON mwaka 2024 kwa mara ya tatu

0
Tanzania wamefuzu kwa fainali za kombe la bara Afrika mwaka ujao nchini Ivory Coast, baada ya kutoka sare tasa dhidi ya Algeria ugenini...

Tanzania watwaa kombe la CECAFA kwa wasichana chini ya miaka 18

0
Wenyeji Tanzania wametwaa kombe CECAFA kwa wasichana wasiozidi umri wa miaka 18 baada ya kuwalaza Uganda bao moja bila kwenye mechi ya fainali iliyosakatwa...

Tanzania yalenga viwanja vitatu katika ombi la pamoja la AFCON 2027

0
Rais wa shirikisho la kandanda nchini Tanzania TFF,Wallace Karia ana imani bid ya pamoja ya mataifa ya Afrika mashariki kuandaa kipute cha AFCON mwaka...

Mnyama Simba yamsajili kipa kutoka Brazil

0
Miamba wa nasoka Tanzania bara klabu ya Simba Sports Club imetangaza kukamilisha usajili wa kipa raia wa Brazil Luis Jefferson kwa mkataba...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS