Home Tags Tanzania

Tag: Tanzania

Tanzania kujenga kituo cha uwekezaji na afisi za ubalozi Nairobi

0
Waziri aliye na Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje jana Jumanne aliongoza hafla ya kuipa Tanzania ardhi ya...

Rais Samia asema anaamini katika uhuru wa vyombo vya habari

0
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kwamba anaamini katika uhuru wa wanahabari na wala sio katika kuhujumu uhuru huo akiongeza kwamba vyombo vya...

Polisi wa Kenya wakamatwa na wenzao wa Tanzania

0
Maafisa watano wa polisi wa Kenya walikamatwa na polisi wa Tanzania na kuzuiliwa kwa muda katika eneo la Rombo nchini Tanzania baada ya kuvuka...

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania wasitisha huduma kisa tatizo la Internet

0
Taifa jirani la Tanzania lilikumbwa na tatizo la kukatika kwa mtandao wa Internet jana Jumapili Mei 12, 2024 kuanzia saa tano asubuhi. Waziri wa Mawasiliano...

Babake Nakaaya afariki

0
Mwanamuziki wa asili ya Tanzania Nakaaya Sumari anaomboleza kifo cha babake mzazi ambacho kilitokea jana Jumapili Mei 12, 2024. Mzee Abraham Edward Sumari anaripotiwa...

Christina Shusho atoa taarifa kuhusu yanayoendelea

0
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania Christina Shusho amevunja kimya chake kuhusu video ambazo zimekuwa zikisambazwa ambapo anaonekana akizungumza kuhusu ndoa yake kwenye...

Gigy Money afungulia umma maisha yake

0
Mwanamuziki wa Tanzania Gigy Money ameamua kufungulia umma maisha yake kupitia kwa onyesho la matukio halisi kumhusu kwenye runinga ya Zamaradi. Onyesho hilo lilizinduliwa rasmi...

Kimbunga Hidaya chafikia mwisho Tanzania

0
Mamlaka ambayo inasimamia utabiri wa hali ya hewa nchini Tanzania imetangaza kwamba kimbunga Hidaya kilichoathiri pwani ya nchi hiyo kimefikia mwisho. Taarifa ya mamlaka hiyo...

Ombi la Mo Dewji la kufunga viwanda lakataliwa Tanzania

0
Serikali ya Tanzania kupitia kwa waziri wa Kilimo Hussein Bashe imekataa ombi la mwanabiashara Mohammed "Mo" Gulamabbas Dewji la kufunga kiwanda cha kutayarisha chai...

Mimi Mars avunja ukimya

0
Mwanamuziki na mwigizaji wa Tanzania Mimi Mars amezungumza kwa mara ya kwanza tangu aliporipotiwa kuhusika kwenye ajali mwanzo wa mwaka huu wa 2024. Alichapisha video...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS