Home Tags Tana River

Tag: Tana River

Mashua za kasi zapigwa marufuku Tana River

0
Naibu Kamishna wa kaunti ya Tana River Andrew Mutua ametangaza kupiga marufuku natumizi ya mashua za kasi katika mto Tana, kufuakia mkasa wa kuzama...

Masaibu ya mafuriko Tana River, familia 27,000 zaathirika

0
Jumla ya 27,000 zimeathiriwa na mafuriko katika kaunti ya Tana River.  Familia zaidi ya 38,000 zimeathiriwa na mafuriko katika eneo la Pwani. Shirika la Msalaba Mwekundu...

Madhara ya Mafuriko: Gachagua, Murkomen wazuru Tana River

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua na Waziri wa Uchukuzi na Barabara Kipchumba Murkomen leo Jumatatu wlitembelea kaunti ya Tana River kutathmini madhara yaliyosababishwa na mafuriko.  Tana...

Rais Ruto afungua mradi wa unyunyuziaji wa Bura

0
Rais William Ruto, amefungua mradi wa unyunyuziaji wa  Bura katika eneo la  Bura,kaunti ya Tana River unaolenga kuongeza uzalishaji chakula nchini. Mradi huo unatarajiwa kupanuliwa...

Mwakilishi Wadi ya Chewani Hamisi Idd afariki

0
Hamisi Idd, ambaye ni Mwakilishi Wadi ya Chewani Kaunti ya Tana River, ameaga dunia mapema leo Jumamosi asubuhi katika ajali ya barabarani kwenye eneo...

Wabunge wapendekeza kutimuliwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa NEMA

0
Kamati ya bunge la taifa kuhusu malalamishi ya umma, imependekeza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya kitaifa kuhusu  mazingira (NEMA) Mamo Boru Mamo,...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS