Home Tags Tabia Nchi

Tag: Tabia Nchi

Ruto: Kenya inakusudia kupambana na mabadiliko ya tabia nchi

0
Kenya imedhamiria kuongoza jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi duniani. Hakikisho hilo limetolewa na Rais William Ruto wakati akiongoza taifa hilo kuadhimisha miaka...

Homa Bay yazindua kituo cha ukusanyaji wa taarifa za tabia nchi

0
Serikali ya kaunti ya Homa Bay imezindua kituo chake cha kukusanya taarifa kuhusiana na tabia nchi. Gavana Gladys Wanga aliongoza hafla ya uzinduzi wa kituo...

Mafunzo ya magonjwa yanayohusiana na tabia nchi yatolewa kwa wahudumu wa...

0
Wafanyakazi wa afya katika kaunti ya Wajir kwa sasa wanapewa mafunzo ya siku tano yanayolenga kuwaongezea ujuzi kuhusiana na namna ya kufanya uangalizi na...

Afrika sasa itazungumza kwa sauti moja, asema Gachagua baada ya kongamano...

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amempongeza Rais William Ruto kwa kuongoza viongozi wengine wa bara la Afrika kuelezea msimamo thabiti wa bara hilo kuhusiana na...

Mama Rachel ataka wanawake kujumuishwa katika masuala ya tabia nchi

0
Serikali za Afrika zimetakiwa kutekeleza sera ambazo zitahakikisha usawa wa kijinsia katika upatikanaji wa nishati safi.  Mkewe Rais Mama Rachel Ruto ametoa wito wa kujumuishwa...

Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi ni la kipekee, asema Rais...

0
Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi lililoanza leo Jumatatu jijini Nairobi na ambalo ni la kwanza kuwahi kufanyika ni la kipekee. Kongamano hilo linalowaleta pamoja...

Usalama waimarishwa Nairobi wakati Kongamano la Tabia Nchi liking’oa nanga

0
Maelfu ya maafisa wa usalama wameshika doria kila pembe ya jiji kuu la Kenya, Nairobi wakati Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi likianza jijini...

Usafiri kutatizika Nairobi kufuatia kufungwa kwa barabara muhimu

0
Usafiri jijini Nairobi unatazamiwa kutatizika kwa kiwango kikubwa kuanzia leo Jumatatu wakati Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi liking'oa nanga.  Msongamano mkubwa wa magari unatarajiwa...

Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi kuanza Nairobi leo Jumatatu

0
Nadhari ya dunia inaelekezwa kwa jiji kuu la Kenya, Nairobi katika kipindi cha siku tatu zijazo.  Hii ni kwa sababu kuanzia hii leo Jumatatu, jiji...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS