Home Tags Susan Nakhumicha

Tag: Susan Nakhumicha

Wizara ya afya yatoa shilingi bilioni 6.1 kwa madaktari wanaogoma

0
Waziri wa afya Susan Nakhumicha amesema serikali imetoa shilingi bilioni 6.1 kutimiza matakwa ya madaktari wanaogoma, huku akitishia kuwashtaki maafisa wa vyama vyao ikiwa...

Nakhumicha: Serikali inashughulikia maswala ya Madaktari

0
Waziri wa afya  Susan Nakhumicha ameelezea matumaini kuwa utata ulioko baina ya madaktari wanaogoma na serikali utasuluhishwa kufikia siku ya Jumatatu. Akiwahutubia wananchi wakati wa...

Nakhumicha: Wizara ya Afya inakumbatia teknolojia kuimarisha utoaji huduma

0
Wizara ya afya imesema inaendelea kukumbatia utumizi wa teknolojia, ili kuimarisha utoaji huduma na kupanua huduma zake hadi katika maeneo ya mashinani. Waziri wa afya...

Wakenya kusajiliwa upya kwa bima ya SHIF asema Ruto

0
Wakenya waliosajiliwa katika bima ya hospitali ya NHIF watalazimika kujisajili upya kwa bima mpya ya SHIF. Akizungumza siku ya Jumamosi katika kaunti ya Bomet Rais...

Bima ya afya ya jamii, SHIF kutekelezwa mwezi Julai

0
Serikali imesema hazina ya bima ya afya ya jamii, SHIF itaanza kutekelezwa mwezi Julai mwaka huu. Kulingana na serikali, usajili wa Wakenya katika bima hiyo...

Waziri Nakhumicha atoa shilingi milioni 17 kwa watoa huduma...

0
Waziri wa afya Susan Nakhumicha ametoa shilingi milioni 17 kuwalipa wastawishaji wa afya ya jamii kote nchini. Waziri akiwa katika hafla moja katika kaunti ya...

Serikali yatoa shilingi bilioni tatu kuwalipa wahudumu wa afya ya jamii

0
Serikali siku ya Ijumaa, ilizindua hazina ya shilingi bilioni tatu, itakayotumiwa kuwalipa wahudumu wa afya ya kijamii kote nchini, ambao wamehudumu kwa muda wa...

Matozo mapya ya SHIF kuanza mwezi Machi mwaka huu

0
Waziri wa afya Susan Nakhumicha, amefichua kuwa bima mpya ya afya SHIF  itaanza kutekelezwa mwezi Machi mwaka huu. Waziri Nakhumicha alifichua  hayo Alhamisi akiongeza kuwa...

Hatima ya SHIF kubainika Ijumaa mahakamani

0
Mahakama ya rufaa leo Ijumaa inatarajiwa kuamua kesi iliyowasilishwa na serikali kupinga kusitishwa kwa utekelezaji wa hazina ya bima ya afya ya jamii, SHIF. Hazina...

Jamii yapongezwa kwa kukabiliana na maambukizi ya Ukimwi

0
Huku taifa hili linapojizatiti kukabiliana na maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi, jamii zimepongezwa kwa kutekeleza wajibu muhimu katika kukabiliana na maambukizi hayo Waziri...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS