Home Tags Sudan

Tag: Sudan

IGAD yawataka majenerali wa Sudan kujadiliana na kumaliza vita

0
Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Kiserikali, IGAD umetoa wito kwa pande zinazozozana nchini Sudan kukubali kusitisha vita na kuwataka majenerali...

Raia 10 wafariki katika shambulizi la makombora nchini Sudan

0
Raia 10 wameuawa baada ya jeshi la Sudan na kundi hasimu la Rapid Support Forces (RSF) kushambuliana kwa mizinga kusini mwa mji mkuu Khartoum. Mwanaharakati...

Rais Ruto apongeza RSF kwa kujitolea kumaliza mzozo Sudan

0
Rais William Ruto amepongeza kundi la Rapid Support Forces, RSF kwa kujitolea kutafuta suluhisho la kudumu kwa mzozo unaoshuhudiwa nchini Sudan. Rais Ruto alifanya mazungumzo...

CECAFA: Makinda wa Kenya waizaba Sudan

0
Wenyeji Kenya wameanza mashindano ya kuwania kombe la CECAFA kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 18 kwa ushindi wa Mabao matano kwa bila dhidi...

Waasi wa Dafur waunga mkono jeshi la Sudan

0
Makundi mawili ya waasi kutoka eneo la Darfur nchini Sudan, yanasema yatapigana pamoja na jeshi katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo. Haya yanajiri...

Ruto na Jenerali al-Burhan wakutana Nairobi, wataka mzozo wa Sudan kusuluhishwa...

0
Kuna haja ya kutafuta haraka suluhu ya kudumu kwa mgogoro unaoendelea nchini Sudan.  Mgogoro huo unaolihusisha jeshi la Sudan na kundi lenye hadhi ya kijeshi...

Mamia wauawa Sudan kutokana na vita baina ya jeshi na RSF

0
Mji wa Darfur na viunga vyake nchini Sudan ulizagaa miili ya watu waliouawa jana Alhamisi kufuatia makabiliano kati ya vikosi viwili vya jeshi. Jeshi linalomuunga...

Ruto: Umoja ni muhimu katika kutatua mzozo Sudan

0
Kenya inaunga mkono mchakato wa pamoja wa kutatua mzozo nchini Sudan.  Mapigano makali yamekuwa yakishuhudiwa Sudan yakihusisha jeshi la nchi hiyo likiongozwa na Jenerali Abdel...

Mamia ya watu wafariki Sudan kutokana na kipindupindu

0
Mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu kutokana na ukosefu wa maji umeua mamia ya watu katika taifa lenye vita Sudan, ripoti za wataalamu wa afya...

Mzozo wa Sudan: Shambulio la anga dhidi ya Khartoum laua takriban...

0
Shambulizi la anga la jeshi katika mji mkuu wa Sudan limeua takriban watu 20, wakiwemo watoto wawili, wanaharakati wanasema. Wengi wa wahasiriwa wa shambulio hilo,...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS