Home Tags Sudan Kusini

Tag: Sudan Kusini

Joto kali lasababisha shule kufungwa Sudan Kusini

0
Serikali ya Sudan Kusini imeamuru kufungwa kwa shule zote kwa muda usiojulikana kwa sababu ya wimbi la joto ambalo linaweza kusababisha joto kuongezeka hadi...

Ruto: Kenya, Somalia na Sudan Kusini kuboresha ushirikiano

0
Kenya imejitolea kuboresha ushirikiano na mataifa ya Somalia na Sudan Kusini kuhusiana na masuala ya maslahi ya pande mbili.  Rais William Ruto amesema lengo la...

Ni kufa kupona kundini B mechi za mwisho Jumamosi

0
Kivumbi kinatarajiwa kutifuliwa katika mechi za mwisho za kundi B katika kipute cha CECAFA kwa chipukizi chini ya umri wa miaka 18. Mechi za kundi...

Kenya na Sudan Kusini kuimarisha uhusiano

0
Kenya imejitolea kuimarisha uhusiano kati yake na Sudan Kusini, kwa manufaa ya raia wa mataifa haya mawili. Rais William Ruto amesema nchi hizo mbili...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS