Tag: STATE HOUSE
Ruto aahidi kuongeza mishahara ya maafisa wa magereza huku kamishna mkuu...
Patrick Aranduh aliapishwa Jumatano kama Kamishna Jenerali mpya wa Magereza katika Ikulu ya Nairobi. Arandu alikula kiapo mbele ya Rais William Ruto katika hafla...
Ruto atetea ziara zake ughaibuni
Rais William Ruto ametetea ziara zake za ughaibuni akisema kuwa zimezaa matunda.
Kwenye mahojiano na wanahabari kutoka ikulu ya Nairobi, Ruto amesema ziara zake zimehahikisha...
Ruto: Polisi walijitahidi kudhibiti maandamano
Rais William Ruto amesema kuwa maafisa wa polisi walijitahidi kadri ya uwezo wao kudhibiti maandamano ya kitaifa ya vijana wa Gen Z.
Vijana hao walifanya...
Ruto kufanya kikao na wanahabari Jumapili jioni
Rais William Ruto atafanya kikao na wanahabari Jumapili jioni katika Ikulu ya Nairobi kujadili maswala kadhaa ya kitaifa.
Kikao hicho kitarushwa mubashara kupitia Runinga zote...
Serikali yakanusha kuwepo kwa mkwaruzano baina ya Mawaziri Mudavadi na Kuria
Serikali imekanusha kuwepo kwa mkwaruzano wa afisi za kutendea kazi kati Mawaziri Musalia Mudavadi wa Mambo ya Kigeni na mwenzake wa Utumishi wa Umma...