Tag: St. Johns ACK Church Kaloleni
Waumini washerehekea miaka 100 ya kanisa la St. Johns ACK Kaloleni
Kulikuwa na shangwe na nderemo katika eneo la Kaloleni Giriama wakati mamia ya waumini walikuwa wakisherehekea miaka 100 tangu kanisa la St Johns ACK...