Home Tags Spika Moses Wetang’ula

Tag: Spika Moses Wetang’ula

Wabunge kupewa afisi mpya Bunge Tower

0
Wabunge wapatao 42 wanatarajiwa kukabidhiwa afisi mpya katika jengo jipya la Bunge Tower, kuanzia leo, baada ya ujenzi kukamilika. Sehemu ya jengo hilo imekuwa ikitumika...

Wetang’ula asema bajeti ya shilingi bilioni 1.7 kufufua sekta ya sukari

0
Spika wa Bunge la kitaifa Moses Wetang'ula amesema bajeti ya ziada ya shilingi bilioni 1.7 iliyopitishwa na wabunge itafufua sekta ya sukari nchini iliyokuwa...

Spika Wetang’ula apiga marufuku suti za ‘kaunda’ bungeni

0
Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang’ula amepiga marufuku mavazi yasiyo rasmi bungeni zikiwemo suti za "kaunda" wakati wa vikao. Wetang'ula alisitiza haja ya wabunge...

Wetang’ula atua Juba kwa kikao cha Maspika wa Afrika Mashariki

0
Spika wa bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula amewasili mjini Juba nchini Sudan Kusini kwa kikao cha Maspika wa mabunge ya Afrika Mashariki kitakachoandaliwa Alhamisi....
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS