Home Tags Speaker Moses Wetangula

Tag: Speaker Moses Wetangula

Michezo ya wabunge Afrika Mashariki yaendelea nchini Rwanda

0
Mashindano ya michezo kati ya wabunge wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yanaendelea katika uwanja wa Pele jijini Kigali nchini Rwanda. Spika wa Bunge...

Spika Wetang’ula awasili Djibouti kwa ziara rasmi

0
Spika wa bunge la taifa Moses Wetang'ula aliwasili nchini Djibouti jana jioni kwa ziara rasmi ya siku mbili. Ziara hiyo inaangazia uimarishaji wa uhusiano mwema...

Wetang’ula: Wabunge wa EALA wachaguliwe na wananchi

0
Spika wa bunge la taifa nchini Kenya Moses Wetang'ula amependekeza kwamba wabunge wa bunge la Afrika Mashariki, EALA wawe wakichaguliwa moja kwa moja na...

Wetang’ula aitaka serikali kutuma wanajeshi Baragoi

0
Spika wa bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula, ameitaka serikali kuwatuma wanajeshi wa KDF eneo la Baragoi kaunti ya Baringo, kukabiliana na utovu wa usalama. Utovu...

Bunge kuandaa kikao cha mabadiliko ya tabia nchi kesho

0
Bunge la Kenya litaandaa kikao cha mazungumzo bungeni kuhusu mabadiliko ya tabia nchi kesho Jumatano, Septemba 6, 2023. Haya ni kulingana na taarifa ya pamoja...

Bunge laombwa kupiga marufuku TikTok nchini Kenya

0
Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang'ula amesema kwamba afisi yake imepokea ombi la kupiga marufuku mtandao wa kijamii TikTok nchini Kenya. Akizungumza bungeni leo,...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS