Home Tags Spain

Tag: Spain

Uhispania, Uswizi na Italia wavuna ushindi

0
Kipute cha mataifa bingwa ya bara Europa kinachoendelea nchini Ujerumani, kiliingia siku ya pili hapo jana na kuandikisha matokeo mseto. Katika mchuano wa kwanza,...

Ireland, Uhispania na Norway kutambua Palestina kama taifa Mei 28

0
Viongozi wa mataifa ya Uhispania, Norway na Ireland, wametangaza kutambua Palestina kama taifa kwa lengo la kuleta amani baina yake na Israel na mashariki...

Waendesha mashtaka Uhispania wataka Rubiales afungwe jela

0
Waendesha mashtaka nchini Uhispania wanataka msimamizi wa zamani wa shirikisho la kandanda nchini humo Luis Rubiales wa umri wa miaka 46, afungwe jela kwa...

Beatrice Chebet ashinda mbio za nyika nchini Uhispania

0
Jumapili Oktoba 29, 2023, bingwa wa mbio za nyika duniani Beatrice Chebet aliibuka mshindi wa mbio za nyikani za Uhispania almaarufu "Cross Internacional de...

Uhispania, Scotland na Uturuki wafuzu kwa fainali za Euro 2024

0
Uhispania ukipenda La Roja, Scotland na Uturuki zilijikatia tiketi kwa kipute cha fainali za kombe la Euro mwaka ujao nchini Ujerumani, baada ya mechi...

Morocco Uhispania na Ureno kuandaa fainali za kombe la dunia mwaka...

0
Morocco, Uhispania na Ureno ndio watakuwa waandalizi wa fainali za kombe la dunia za mwaka 2030. Uamuzi huo umeafikiwa Jumatano jioni na baraza kuu la...

Watu 13 wafariki kwenye moto katika eneo la burudani Uhispania

0
Watu wapatao 13 walifariki kwenye mkasa wa moto uliotokea jana Jumapili alfajiri katika eneo moja la burudani nchini Uhispania. Moto huo ulizuka katika kilabu hicho...

Uhispania ndio malkia wa dunia katika soka

0
Uhispania wamenyakua kombe la dunia kwa wanawake kwa mara  ya kwanza baada ya kuwashinda Uingereza bao moja kwa bila kwenye fainali ya kusisimua iliyosakatwa...

Uhispania kumenyana na Uingereza fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake

0
Uingereza itapambana dhidi ya Uhispania kwenye fainali ya makala ya 9 ya fainali za kombe la dunia kwa wanawake. Uingereza imefuzu kwa fainali Jumatano baada...

Uhispania yaishinda Uswidi, yatinga fainali ya Kombe la Dunia kwa vidosho

0
Uhispania wamefuzu kwa fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza  baada ya kuwashinda Uswidi mabao 2-1 katika nusu fainali iliyochezwa leo Jumanne...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS