Tag: South Sudan
Sudan Kusini yashauriwa kuahirisha uchaguzi mkuu
Sudan Kusini imeshauriwa kuahirisha uchaguzi wake mkuu uliopangwa kuandaliwa Disemba mwaka huu kwa kukosa mipango madhubuti ya kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki.
Kundi la...
Rais Ruto asema mpango wa Tumaini umepiga hatua kubwa
Rais William Ruto amesema kwamba mpango wa amani nchini Sudan Kusini kwa jina "Tumaini" umepiga hatua kubwa kutokana na uongozi na uzalendo wa wadau...
Sudan Kusini yajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa kwanza tangu mwaka 2011
Sudan Kusini imeanza mchakato wa uchaguzi mkuu huku waangalizi wa kimataifa wakihofia uwezo wa taifa hilo kuandaa uchaguzi huru na wa haki kutokana...
Ujenzi wa barabara ya kuunganisha Kenya na Sudan Kusini kuanza karibuni
Waziri wa barabara na uchukuzi nchini Kenya Kipchumba Murkomen na mwenzake wa Sudan Kusini Simon Mijok Mijak wametangaza kwamba ujenzi wa barabara kuu ya...
Kipute cha CECAFA kwa chipukizi chini ya umri wa miaka 18...
Mashindano ya kuwania kombe la CECAFA kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 18 yatang’oa nanga Jumamosi katika kaunti za Kakamega na Kisumu.
Wenyeji kenya watapambana...
Kiir amtimua mkuu wa majeshi kwa hofu ya mapinduzi
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amempiga kalamu mkuu wa majeshi Majak Akec Malok kwa hofu ya mapinduzi ya serikali.
Kiir amemteua Atem Malor kuwa...
Chol Khan ashinda shindano la ulimbwende Afrika
Chol Khan wa asili ya Sudan Kusini mkazi wa kambi ya wakimbizi ya Dadaab ndiye mshindi wa shindano na ulimbwende Afrika almaarufu "Africa's Next...
Harambee Stars wanyofolewa na Sudan Kusini
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars imenyofolewa baada ya kulazwa bao moja kwa nunge na Sudan Kusini almaarufu Bright Stars, katika pambano la...
Harambee Stars kukabiliana na Sudan Kusini Jumanne
Timu ya taifa ya soka ya Kenya-Harambee Stars itawaalika Sudan Kusini katika mechi ya kimataifa ya kirafiki Jumanne alasiri katika uwanja wa kimataifa wa...