Home Tags South Korea

Tag: South Korea

Ruto: Uwezo wa kawi safi haujakua Afrika

0
Rais William Ruto amesema kwamba uwezo wa kawi safi uliongezeka kwa kiwango kikubwa ulimwenguni mwaka 2023 ambapo gigawatt 500 ziliongezwa na uwekezaji wa dola...

Ruto kuondoka nchini Jumapili jioni kwa ziara nchini Korea Kusini

0
Rais William Ruto anatarajiwa kuondoka nchini Jumapili jioni kuelekea nchini Korea Kusini kwa ziara rasmi ya kiserikali. Ziara hiyo inalenga kukamilisha kutiwa saini kwa mikataba...

Korea Kusini yampiga kalamu Jurgen Klinsmann

0
Kocha Jurgen Klinsmann amepigwa kalamu na Korea Kusini baada ya timu hiyo kushindwa katika nusu fainali ya Kombe la bara Asia. Chuma cha Klinsmann...

Mwigizaji wa Korea Kusini Lee Sun-kyun afariki

0
Mwigizaji wa Korea Kusini Lee Sun-kyun ambaye wengi wanamfahamu kwa kuhusika kwenye filamu iliyoshinda tuzo ya Oscar "Parasite" amepatikana akiwa amefariki. Polisi walielezea kwamba Lee...

Watu 26 wafariki kwa mafuriko Korea Kusini

0
Waokoaji wameopoa mili 26 ya watu walioangamia kutokana na mafuriko nchini Korea Kusini. Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini humo imesabaisha mafuriko ambayo yameleta hasara...

Korea Kaskazini yalaani mpango wa Amerika wa kutuma nyambizi za kivita...

0
Korea Kaskazini imelaani mpango wa Amerika wa kutuma nyambizi zilizo na zana za kunuklia na makombora karibu na sehemu ya Korea inayozungukwa na maji...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS