Home Tags South Africa

Tag: South Africa

Upigaji kura waanza Afrika kusini ukiwashirikisha wapiga kura milioni 27

0
Upigaji kura umeanza nchini Afrika Kusini mapema Jumatano huku jumla ya wapiga kura milioni 27, wakitarajiwa kutekeleza haki za za kidemkrasia. Utakuwa uchaguzi wa kwaza...

Afrika Kusini kuingia kwa debe Mei 29

0
Jumla ya wapiga kura milioni 28 waliojisali wanatarajiwa kupiga kura nchini Afrika Kusini katika uchaguzi mkuu wa Mei 29. Uchaguzi huo utakuwa wa saba katika...

Watu 45 wafariki kufuatia ajali ya basi Afrika Kusini

0
Watu 45 wamefariki nchini Afrika Kusini baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuanguka takriban mita 50 kutoka kwenye daraja katika jimbo la kaskazini mwa nchi...

Washukiwa 7 wa mauaji ya mwanamuziki wa Afrika Kusini AKA kufikishwa...

0
Washukiwa 7 wa mauaji ya mwanamuziki wa mtindo wa Rap nchini Afrika Kusini Kiernan Jarryd Forbes maarufu kama AKA na rafiki yake Tebello Motshoane...

Bafana yamnyofoa Chui wa Congo na kutwaa shaba ...

0
Bafana Bafana ya Afrika  Kusini ilinyakua nishani ya shaba katika makala ya 34 ya kipute cha AFCON, walipoilemea Leopards ya DR Congo  penati 6-5...

Bafana kukabana koo na Chui wa Congo kuwinda shaba AFCON

0
Bafana Bafana ya Afrika Kusini na Chui wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo  watashuka katika uchanjaa wa Félix Houphouët-Boigny mjini Abidjan, Jumamosi usiku katika...

Tai wa Nigeria watinga fainali ya AFCON kwa taabu

0
Licha ya kupitia changamoto tele katika dakika 120, Super Eagles ya Nigeria hatimaye walitinga fainali ya kombe la AFCON baada ya subira ya miaka...

Chui kuvaana na tembo huku Bafana wakipimana ubabe na tai...

0
Makala ya 34 ya kindumbwendumbwe cha kombe la AFCON yatarejea Jumatano usiku tai wa Nigeria, wakicheza nusu fainali  ya kwanza dhidi ya Bafana bafana...

Bafana wafurahia kitoweo cha nyangumi na kufuzu kwa nusu fainali AFCON

0
Bafana Bafana ya Afrika Kusini ilihitaji ukakamavu wa kipa Ronwen Williams aliyepangua penalti nne, ili kufuzu kwa nusu fainali ya AFCON dhidi ya Cape...

Bafana waangusha Simba wa Atlas na kufuzu robo fainali AFCON

0
Afrika Kusini waliendeleza ubabe wao dhidi ya Atla Lions ya Morocco baada ya kuwacharaza magoli 2-1 katika mechi ya mwisho ya awamu ya 16...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS