Home Tags Somaliland

Tag: Somaliland

Somalia yakataa upatanishi katika mzozo wake na Ethiopia

0
Somalia imesema hakuna nafasi ya upatanishi katika mzozo wake na Ethiopia iwapo taifa hilo halitajiondoa katika makubaliano yenye utata na eneo lililojitenga la Somaliland. Mvutano...

Wakuu wa jeshi la Ethiopia na Somaliland wakutana

0
Wakuu wa jeshi la Ethiopia na wale wa eneo lililojitenga la Somaliland, wamekuwa wakijadiliana kuhusu ushirikiano wa kijeshi huku wasiwasi ukiongezeka kuhusu makubaliano ambayo...

Ethiopia yafanya mazungumzo ya ushirikiano wa kijeshi na Somaliland

0
Ethiopia imesema imefanya mazungumzo Jumatatu kuhusu ushirikiano wa kijeshi na eneo lililojitenga la Somaliland. Ushirikiano huo unajiri wiki moja tu baada ya makubaliano kati ya...

AU, IGAD na UN zaombwa kuingilia kati na kutatua mzozo kati...

0
Baadhi ya wabunge wa eneo na kaskazini mashariki mwa Kenya sasa wanataka mashirika kama umoja wa Afrika AU, shirika la IGAD na umoja wa...

Somaliland yakataa kuunganishwa na Somalia

0
Taifa la Somaliland likemektaa kata kata mazungumzo yoyote yanayopendekeza kuunganishwa na Somalia. Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari Somaliland, imesema iko tayari kwa majadiliano yoyote...

Museveni ajitolea kupatanisha Somaliland na Somalia

0
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amejitolea kuongoza juhudi za kuleta upatanisho kati ya  Somalia na Somaliland. Museveni ametangaza haya siku ya Ijumaa katika Ikulu...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS