Tag: Somalia
Misri yawasilisha meli ya zana za kivita nchini Somalia
Meli ya kivita ya Misri imewsilisha shehena ya pili ya zana za vita mjini Mogadishu Somalia, hali inayoongeza mchecheto baina ya mataifa hayo mawili...
Hali ya wasiwasi yaendelea kushuhudiwa kati ya Somalia na Ethiopia
Rais wa Somalia Hassan Sheik Mohamud amesema hakuna dalili za Ethiopia kujiondoa kwenye makubaliano ya bandari yenye utata ambayo yalizua mvutano kati ya nchi...
Kikao cha tatu cha tume ya pamoja ya ushirikiano JCC chaandaliwa
Kikao cha tatu cha tume ya pamoja ya ushirikiano kati Kenya na Somalia kiliandaliwa leo ambapo ujumbe wa Kenya uliongozwa na naibu Rais Rigathi...
Mudavadi: Kenya iko makini kuimarisha uhusiano wake na Somalia
Kenya itaendelea kuimarisha uhusiano mwema na Somalia katika maeneo yote yenye maslahi ya pamoja, ili kuboresha maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya nchi hizo...
Wakenya sita wauawa nchini Somalia
Wakenya sita wameuawa mjini Dhobley nchini Somalia katika shambulizi linaloshukiwa kutekelezwa na wanamgambo wa kundi la Al Shabaab.
Hii ni kwa mujibu wa Naibu...
Raia sita wa Kenya wauawa nchini Somalia
Raia sita wa Kenya wameuawa na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al-Shabab, katika mpaka wa Kenya na Somalia.
Kulingana na kamanda wa polisi wa kaunti...
Somalia yamtuma bi Fazia kumpinga Raila kwa uenyekiti wa AU
Somalia imeanza kampeini za kumpigia debe aliyekuwa waziri Fawzia Adam kuwania uenyekiti wa Muungano wa Afrika,AU kupambana na Raila Odinga aliyependekezwa na serikali ya...
Kenya Airways yarejesha safari za moja kwa moja kati ya Nairobi...
Safari za moja kwa moja za ndege za kampuni ya Kenya Airways kati ya Nairobi nchini Kenya na jiji la Mogadishu nchini Somalia zimerejelewa...
Rais wa Misri atetea Somalia
Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi amesema hatakubali tishio lolote kwa taifa la Somalia kufuatia hatua ya Ethiopia ya kusema kwamba huenda ikatambua Somaliland...
Somalia yakataa upatanishi katika mzozo wake na Ethiopia
Somalia imesema hakuna nafasi ya upatanishi katika mzozo wake na Ethiopia iwapo taifa hilo halitajiondoa katika makubaliano yenye utata na eneo lililojitenga la Somaliland.
Mvutano...