Tag: Soipan Tuya
Meli ya MV Uhuru II kuimarisha biashara Afrika Mashariki
Meli mpya ya MV Uhuru II, iliyojengwa kwa kitita cha shilingi bilioni 2.4, imerejelea safari za uchukuzi kutoka bandari ya Kisumu hadi bandari ya...
Duale amshukuru Rais Ruto kwa kumhamishia wizara nyingine
Aden Duale, ambaye alihudumu kama waziri wa ulinzi katika baraza lililovunjwa na Rais William Ruto kabla ya kurejeshwa kwenye wadhifa huo huo amemshukuru Rais...
Kenya yajiunga na ulimwengu kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani
Kenya leo Jumatano inajiunga na ulimwengu kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Siku hiyo huadhimishwa tarehe tano mwezi Mei kila mwaka.
Hapa nchini, itaadhimishwa katika Chuo...
Mawaziri Alfred Mutua na Soipan Tuya waongoza upanzi wa miti Kitui
Waziri wa mazingira, mabadiliko ya hali ya anga na misitu,Soipan Tuya na mwezake wa utalii na wanyama pori, Dkt. Alfred Mutua, leo Alhamisi...
Serikali inalenga kupandi Miti bilioni moja Ijumaa
Serikali inalenga kupanda miche ya miti bilioni moja leo Ijumaa Mei 10, 2024, siku ambayo imetengwa kwa upanzi wa miti kuwakumbuka waliopoteza maisha kutokana...
Wakenya wapongezwa kwa kushiriki upanzi wa miti
Waziri wa mazingira, mabadiliko ya tabia nchi na misitu Soipan Tuya, amewapongeza wakenya kwa kuitikia wito wa upanzi wa miti, katika juhudi za serikali...
Serikali inalenga kupanda miti milioni 100 siku ya Jumatatu
Huku taifa hili likijiandaa kwa siku ya upanzi wa miti siku ya Jumatatu tarehe 13, wizara ya mazingira, mabadiliko ya tabia nchi na misitu,...