Tag: Sodium Cyanide
Serikali yasema eneo palipomwagika sodium cyanide sasa ni salama
Serikali ya Kenya imetangaza kuwa eneo la Kambembe huko Rironi katika kaunti ya Kiambu palipomwagika kemikali ya sodium cyanide sasa ni salama.
Hii ni baada...
Marekani yatahadharisha raia wake nchini Kenya kuhusu kemikali ya Cyanide
Serikali ya Marekani imetahadharisha raia wake walioko nchini Kenya wasipitie kwenye barabara ya kuu nambari A104 katika eneo la Kambembe huko Rironi, kaunti ya...